Asante sana Bernard Morrison kwa Kutupambania wana Simba SC wote katika Kumshawishi Rafiki yako mkubwa Khalid Aucho ahamie Msimbazi 2022 / 2023

Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.

Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.

Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Unajua kufanya propaganda,lakini hakuna ukweli,kwa sasa simba hawana fedha za kulioa mushahara aucho hawezi kuja simba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
aje acheze mpira aache hizo rede huko utopoloni.

Kwani Ni nyie mlimleta dar, au mlidandia tu.
Soma ubao
giphy.gif
 
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.

Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.

Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Mara nyingi unapenda kujipendekeza. Pole kiongozi
 
Back
Top Bottom