GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Umesharidhika au bado?Milembe naona wamekuachia smart phone yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesharidhika au bado?Milembe naona wamekuachia smart phone yako!
Aucho aje afanye nini msimbazi?
Kumbe nawe zee korofi?Mwezi mchanga katoka milembe.
GuesseKama nani kwa mfano? Aucho anajua mno acheni Usimba wenu na tuwe Wakweli.
Hamna namtania ili akasirike tu atandikwe ban 😀Kumbe nawe zee korofi?
Unajua kufanya propaganda,lakini hakuna ukweli,kwa sasa simba hawana fedha za kulioa mushahara aucho hawezi kuja simbaNajua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.
Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.
Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Soma ubaoaje acheze mpira aache hizo rede huko utopoloni.
Kwani Ni nyie mlimleta dar, au mlidandia tu.
Mara nyingi unapenda kujipendekeza. Pole kiongoziNajua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.
Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.
Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Manula anafanya difficult saves Ila anafungwa magoli rahisi mno, anahitaji mentorSimba tuna shida kubwa sana kuanzia golini