Asante sana Bernard Morrison kwa Kutupambania wana Simba SC wote katika Kumshawishi Rafiki yako mkubwa Khalid Aucho ahamie Msimbazi 2022 / 2023

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.

Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.

Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
 
Mbona kuna wachezaji wengi tu kama aucho bongo na wengine wanamzidi kabisa uwezo.
 
Bora mumchukue Mayele aje ateteme na huko upande wa pili akiwa na Msuva. Aucho wakawaida tu.
 
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.

Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.

Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.
Milembe naona wamekuachia smart phone yako!
 
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa.

Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule Phiri na Sakho halafu juu yao anasimama Mwamba wa Orlando Pirates au Al Ahly na Miquissone na Msuva nao wakiwa pembeni.

Mmetuchokoza sasa mtatutambua tu.

099497E5-6966-46F2-AE94-646316EA308E.jpeg
 
Back
Top Bottom