GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC yake jina jipya la 'Mindole FC' hapa Mjini.
Kwa sasa Mtu yoyote tu wa Yanga SC akituita Simba SC 'Paka FC' na Sisi wa Simba SC tutawajibu kwa kuwaita 'Mindole FC' ambalo naona ndiyo 'limebamba' zaidi hata kuliko lile la 'Utopolo' lililozoeleka.
Akhsante sana tu Kipa Metacha Mnata.