Mwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuziNa huo ndio mwisho wa Chadema!
Matokeo yake kafa yeye lakini CHADEMA bado inadundaMwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuzi
Alitumia akina Sabaya na Bashite kuteka, kukata mapanga wanachadema
Mwendazake amepotea, Chadema bado ipo
Sabaya ndio huyo jana amekalia debe kwa mara ya kwanza kuangalia kama amebeba vitu kwenye makalio si unajua mahabusu
Nitakuwa wa mwisho kuamini Chadema inakufa
Mwendazake aliwekeza nguvu kubwa sana kuua Chadema, Maajabu Haya Yeye ndio kawa wa kwanza kupotea
Raha ya siasa ni vijembe na tambo Bwana
Enzi zile Dkt slaa anashusha vitu, Nape anajibu
Nape anashusha vitu Dkt slaa anajibu
Tundu lissu anatikisa Bungeni, Huku Sefue na Kikwete wanatafuta hati ya Muungano kujibu mapigo
Ahaaa siasa za Mwendazake za kukomba viti vyote vya uchaguzi Halafu na yeye kupotea moja kwa moja ni fumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuzi

Wakushukuriwa ni sisi tuliopinga udikteta wa Mbowe hapo Chadema.Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.
Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Unajua Afrika ni kubwa sana aisee, ni zaidi ya hapo Mbwinde..Huyu ndiye shujaa wa Afrika
... hakika falsafa zake zitaishi for ever and ever! Hahitaji kujenga madaraja au kula mahindi ya kuchoma mabarabarani ili ku-keep legacy, falsafa na ideology zake ni zaidi ya "legacy"!Huyu ndiye shujaa wa Afrika
Kweli kabisa "Dikiteeta" aliishakufa kipindi kirefu. Mimi namaanisha "DIKTETA MBOWE" wa Chadema! Ahahahahahahahahah!!!Dikiteeta alushakufa kipindi kirefu