Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Mwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuzi

Alitumia akina Sabaya na Bashite kuteka, kukata mapanga wanachadema

Mwendazake amepotea, Chadema bado ipo

Sabaya ndio huyo jana amekalia debe kwa mara ya kwanza kuangalia kama amebeba vitu kwenye makalio si unajua mahabusu

Nitakuwa wa mwisho kuamini Chadema inakufa

Mwendazake aliwekeza nguvu kubwa sana kuua Chadema, Maajabu Haya Yeye ndio kawa wa kwanza kupotea

Raha ya siasa ni vijembe na tambo Bwana

Enzi zile Dkt slaa anashusha vitu, Nape anajibu

Nape anashusha vitu Dkt slaa anajibu

Tundu lissu anatikisa Bungeni, Huku Sefue na Kikwete wanatafuta hati ya Muungano kujibu mapigo

Ahaaa siasa za Mwendazake za kukomba viti vyote vya uchaguzi Halafu na yeye kupotea moja kwa moja ni fumbo

Sent using Jamii Forums mobile app

mbowe peke yake ndo mwenye siasa za kistarabu na ana ile kupendwa naturally, ukitoa apo basi hakuna chama
 
Anazuga tu anatengeneza maigizo ili aonekane hakuna mwenye uwezo ili yeye andelee matapeli ya kisiasa tuna uzoefu nao sasa kwanini asingemuachia mwambe au sumaye!
Baada ya kukamatwa Sabaya na Bashite inakuja zamu yako maana wewe ndiyo mfuasi wao mkubwa
 
Mbona unajifedhehesha kuonyesha mwili na shingo vinachoka kubeba debe tu lilojaa maji akili hata moja hakuna!
Siku ukipelekwa jela lazima nifanye makosa makusudi ili nije nikuonyeshe dunia inavyo kwenda
 
Wanafiki wanaanza kujitaja
 
Siku ukipelekwa jela lazima nifanye makosa makusudi ili nije nikuonyeshe dunia inavyo kwenda
Jela wanakwenda vidume tu watoto wa mama mnaolialia kutwa kwenye mitandao tutawapokea na kuwapa ugali mkubwa na karanga mbichi!
 
Jela wanakwenda vidume tu watoto wa mama mnaolialia kutwa kwenye mitandao tutawapokea na kuwapa ugali mkubwa na karanga mbichi!
Bosi wako Sabaya juzi alikaribishwa kwa kupewa ndoo kubwa ya maji
 
Back
Top Bottom