johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wewe utakuwa umesharudishwa kwenu Msumbiji na uhamiaji!Wakati huo wewe utakuwa unaozea jela na wenzako kina Bashite na Sabaya
Wewe utakuwa umesharudishwa kwenu Msumbiji na uhamiaji!Wakati huo wewe utakuwa unaozea jela na wenzako kina Bashite na Sabaya
Achana na mimi we kengeSasa wewe unawashwa na nini?
Kwa nini mzee ?Na huo ndio mwisho wa Chadema!
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
Jembe ameutiendea haki da wake alioishi duniani kwa kupigania hakiMwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
🤣🤣🤣enzi za mzalendo mshambaHatukubali, lazima tumlazimishe awe mwenyekiti wa maisha! Sisi wanachama ndo tunataka siyo yeye!
dikiteta mshamba anaoza huko.Kweli kabisa "Dikiteeta" aliishakufa kipindi kirefu. Mimi namaanisha "DIKTETA MBOWE" wa Chadema! Ahahahahahahahahah!!!
Ndoto za Alinacha.Namuona Tundu ANTIPASS LISSU akiukwaa uenyekiti,kinyume na hapo CHAMA KIMEKUFA.
Mbona mumefurahi sana,si ni nyinyi mliokuwa mkiomba ili Magufuli atawale Milele? sasa na sisi ngoja tuingie kazini ili ikifika tarehe ya kujiuzulu aahirisheNa huo ndio mwisho wa Chadema!
We nawe kamuhudumie Basha wako huko.Wakushukuriwa ni sisi tuliopinga udikteta wa Mbowe hapo Chadema.
Na yule Dikteta Mla mahindi barabarani kama sokwe.Kweli kabisa "Dikiteeta" aliishakufa kipindi kirefu. Mimi namaanisha "DIKTETA MBOWE" wa Chadema! Ahahahahahahahahah!!!
"Dikteta Kupe" zile ruzuku kedekede hakuna tenaWakushukuriwa ni sisi tuliopinga udikteta wa Mbowe hapo Chadema.
Bora Dikteta kupe kuliko Dikteta TAAHIRA."Dikteta Kupe" zile ruzuku kedekede hakuna tena
2023 Kupe anadondoka ng'ombe kakaukiwa damuBora Dikteta kupe kuliko Dikteta TAAHIRA.
17/3/2021 Dikteta Mla mahindi barabarani alianguka MATAGA bado hawajui cha kufanya2023 Kupe anadondoka ng'ombe kakaukiwa damu
Heri yako wewe ambaye babu na bibi zako na baba na mama yako hawaozi na hawataoza wakifa!dikiteta mshamba anaoza huko.