kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Dikteta yupo hai anataka kustaafu 2023!Dikiteeta alisha kufa
Dikteta yupo hai anataka kustaafu 2023!Dikiteeta alisha kufa
Malaika hawafi uliwahi kuwaona!Imeua malaika wako
Jamaa ni zaidi ya joti!kama kipindi kile anasema anataka kugombea uraisi
Wenye hasira ni nyinyi katiba imempa madaraka makamu wa raisi angetoka chadema ningekua na hasira!Punguza hasira mungu wenu kazungushiwa hoarding ya mabati pale chato
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji736][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.
Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Angalia isijekuwa ndio mwisho wako weweNa huo ndio mwisho wa Chadema!
Mbowe ndiye shujaa wa kweli wa Afrika[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji736][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa sana kaanalysis kako enzi hizo siasa ilikuwa tamu, huyu anasema hiki upande wa pili anajibu, sisi kazi yetu ilikuwa SAA 2.00 usiku tunajazana kwenye TV kuona tambo hizo. Jiwe alitukosea sana, acha amalizNe na Muumba hukoMwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuzi
Alitumia akina Sabaya na Bashite kuteka, kukata mapanga wanachadema
Mwendazake amepotea, Chadema bado ipo
Sabaya ndio huyo jana amekalia debe kwa mara ya kwanza kuangalia kama amebeba vitu kwenye makalio si unajua mahabusu
Nitakuwa wa mwisho kuamini Chadema inakufa
Mwendazake aliwekeza nguvu kubwa sana kuua Chadema, Maajabu Haya Yeye ndio kawa wa kwanza kupotea
Raha ya siasa ni vijembe na tambo Bwana
Enzi zile Dkt slaa anashusha vitu, Nape anajibu
Nape anashusha vitu Dkt slaa anajibu
Tundu lissu anatikisa Bungeni, Huku Sefue na Kikwete wanatafuta hati ya Muungano kujibu mapigo
Ahaaa siasa za Mwendazake za kukomba viti vyote vya uchaguzi Halafu na yeye kupotea moja kwa moja ni fumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa...... Ngoja tuione Chadema ya mchungaji Msigwa na mikakati yake!
Hiki chama kinakutesa sana Jo sijui kwaniniHahahaaaa...... Ngoja tuione Chadema ya mchungaji Msigwa na mikakati yake!
Jiwe alivuruga mfumo mzima wa maisha ya kila siku ya watanzaniaNimependa sana kaanalysis kako enzi hizo siasa ilikuwa tamu, huyu anasema hiki upande wa pili anajibu, sisi kazi yetu ilikuwa SAA 2.00 usiku tunajazana kwenye TV kuona tambo hizo. Jiwe alitukosea sana, acha amalizNe na Muumba huko