Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Nilitaka kukujibu, nimekuonea huruma.Na yule Dikteta Mla mahindi barabarani kama sokwe.
Nilitaka kukujibu, nimekuonea huruma.Na yule Dikteta Mla mahindi barabarani kama sokwe.
Unionee huruma mimi mumeo kua unaninyima unyumbaNilitaka kukujibu, nimekuonea huruma.
Freeman Aikaeli Mbowe, among very few Political Parties Chairperson that are sensible, worth listening, stand by their words, considerate, democratic, to mention only the fewCHADEMA ipo ilikuepo na itaendelea kuwepo.✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
Corona inaweza
Corona inatisha sana
Maisha ya kiumeni wanapita wanaume tu!Bosi wako Sabaya juzi alikaribishwa kwa kupewa ndoo kubwa ya maji
Vipi mwenzetu unataka kuhamishia makazi kwenye kaburi!Kwani leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?
Kama ni hivyo kwanini hakuwa mgombea wa muda mrefu upande wa rais badala yake amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu chademaFreeman Aikaeli Mbowe, among very few Political Parties Chairperson that are sensible, worth listening, stand by their words, considerate, democratic, to mention only the few
Kamsaidie huko nyapara wanampaka tako mafutaMaisha ya kiumeni wanapita wanaume tu!