stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Kwani wewe sibado upo lindoni?
ndo maaana mna mbunge mmoja tu 😂 😂 😂 😂
Kwani wewe sibado upo lindoni?
Kupakwa mafuta hata wasio enda jela!Kamsaidie huko nyapara wanampaka tako mafuta
Mbona mitaani wengi tu wanaogeshwa unaona hatari!Juzi alililazimishwa kuogeshwa na wajuba wa kisongo
Heche akipikwa anaweza, ili Mbowe abaki kuwa mlezi na mshauri, yafaa amalize uongozi wake akiwa bado ana mvuto sio hadi aharibuHatutakubali Astaafu, uzuri kasema atakabidhi kwa mwenye uwezo na sisi Chadema kufikia Mwaka 2023, hatuoni wa kuvaa viatu vyake hivyo tutamlazimisha na hataweza kukataa.
Akili ya chama MTEI, Mbowe ni anakinga bakuli tu ruzuku then wanagawana huko MachameCHADEMA BADO ITAMUHITAJI KWA "MONITORING'!
... napendekeza abakie kama 'kiongozi mkuu' kwa maisha yake yaliyobaki, yaani apunguze tu majukumu yanayohitaji nguvu nyingi lakini aendelee kuwa ÁKILI YA CHAMA'!
CHADEMA ina mbunge mmoja halafu unatuambia imekua ! Hauko seriousMwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
Mwenyekiti Mbowe ameona kukaribia kuzikwa kwa Chadema mwaka 2025 baada uchaguzi mkuu na kudai atastaafu uwenyekiti na si siasa !Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
2023? Mbona mbali? Kuweni na huruma jameni. Mbowe alikuwa Mwenyekiti tangu Mwenyekiti mwenza CCM alikuwa Nyerere, akaja Mwinyi, yumo. Kaja Ben W Mkapa, yupo tu. Then nkwere, yupo. Hadi Samia? Yupo. No no no no, this is too much. Please do us a favour, toka kesho.Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
Wewe endelea kuramba miguuu ya Bashite2023? Mbona mbali? Kuweni na huruma jameni. Mbowe alikuwa Mwenyekiti tangu Mwenyekiti mwenza CCM alikuwa Nyerere, akaja Mwinyi, yumo. Kaja Ben W Mkapa, yupo tu. Then nkwere, yupo. Hadi Samia? Yupo. No no no no, this is too much. Please do us a favour, toka kesho.
Talking from experienceKupakwa mafuta hata wasio enda jela!
Akifa mtafanyaje? acheni akili za kipuuziHatutakubali Astaafu, uzuri kasema atakabidhi kwa mwenye uwezo na sisi Chadema kufikia Mwaka 2023, hatuoni wa kuvaa viatu vyake hivyo tutamlazimisha na hataweza kukataa.
Kwani mtoto wa kwanza wa Mbowe ana umri gani? Maana najua Uenyekiti hauwezi kwenda nje ya familiaMwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.
View attachment 1809525
Huko mbali sana na kwetu!Wasalimie koromitje
Kwani zamu ya kulinda kaburi umemuwachia nani leo?2023? Mbona mbali? Kuweni na huruma jameni. Mbowe alikuwa Mwenyekiti tangu Mwenyekiti mwenza CCM alikuwa Nyerere, akaja Mwinyi, yumo. Kaja Ben W Mkapa, yupo tu. Then nkwere, yupo. Hadi Samia? Yupo. No no no no, this is too much. Please do us a favour, toka kesho.
Mwenyekiti wa kwanza Duniani wa Chama Cha Siasa asiye na shule. Hongera sana kwake... Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika, Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, anapumzika. Hongera sana kwake Mwamba wa siasa za Afrika.