Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.

Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.

Anajipanga kuwania 2025
 
Hapana mtu katangaza nia ya kuacha na aache kweli kwani tanzania hatuna vijana au watu wengine ila yeye abaki kama mlezi wa chama
 
Hatutakubali Astaafu, uzuri kasema atakabidhi kwa mwenye uwezo na sisi Chadema kufikia Mwaka 2023, hatuoni wa kuvaa viatu vyake hivyo tutamlazimisha na hataweza kukataa.
Apende asipende tutamwongezea muda
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.

Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.

Nani atakulipa sasa kwenye kazi yako ya ulinzi hapo Ufipa? Au na wewe unastaafu mkuu??
 
Aliyjaribu kutaka kuiua kafa yeye kwa corona
Hakujaribu. Infact, amefanikiwa kuiua. Ndo maana makamanda mpaka leo mna hasira nae licha ya kwamba amekufa. Chadema haina mvuto popote pale. Na hii ni kazi iliyotukuka aliyoifanya JPM na zawadi kwa CCM.

M/Kiti wenu anawadanganya eti mliweka wagombea dhaifu ndo maana mlishindwa uchaguzi. Ukweli ni kwamba, chama chenu ndo dhaifu na siyo wagombea.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Kipande

Hayo maneno yako yatakugharimu mbele za Mungu. Endelea na mizaha ya kijinga utavuna unachopanda.
Wewe huna lolote la kuniambia mimi endelea kusubiria meli mbezi bus terminal .
 
Anazuga tu anatengeneza maigizo ili aonekane hakuna mwenye uwezo ili yeye andelee matapeli ya kisiasa tuna uzoefu nao sasa kwanini asingemuachia mwambe au sumaye!
Sumaye ambae baada ya kutishwa kidogo karudi CCM au Sumaye gani???
 
Back
Top Bottom