Uchaguzi 2020 Asante sana Rais Magufuli, kiukweli ninashukuru

Nami namtizama kwa umakini kama kuna kitu mbele yake anasoma, lakini si kweli maana anaongra akiwatazama wasikikizaji.
Kama ni kweli hana chochote kinacho mwongoza Kusoma hotuba yake, Huyu atakuwa si Binadamu wa kawaida! Amini mkuu!

Na hiyo, kama ni kweli tafadhari watu wanaohusika kuwaingiza watu katika vinyang'anyilo za watu waliovunja record mbalimbali kuhusu vitu tendwa hapa duniani, wafanye Yao aisee, huyu si Binadamu wa kawaida
 
Nina shaka,nyie ndio wale wavurugao amani au wanaotaka kutumia mianya fulani kwa malengo yao Binafsi

Uhuru bila Mipaka,ni sawa na Ujambazi tu
Kwahili anastahili pongezi hakika [emoji122] Bravo.
 
Nina shaka,nyie ndio wale wavurugao amani au wanaotaka kutumia mianya fulani kwa malengo yao Binafsi

Uhuru bila Mipaka,ni sawa na Ujambazi tu
Yajayo.......... Yanafurahisha......... Alisikika mtu akisema bungeni saiz hapa.
 
Ni mtu wa aina pekee kwani amejaliwa vipaji vingi sana. Leo ananishangaza kuhutubia Bunge bila kusoma na kwa takwimu.
Mkuu kwamba huoni akisoma au.... Labda hujaona anasomea wapi 😂
 
Njaa za watu ni mbaya sana wanaweza hata kuua ilimradi matumbo yashibe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…