Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita View attachment 2141741View attachment 2141742
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hili jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoshauri, hauna budi kupongeza.
Anzia hapa,
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
www.jamiiforums.com
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "Ukiaminiwa, Jiaminishe", Tanzania ni nchi ya wote, Watanzania wote, binadamu wote ni sawa, CCM na Wapinzani wote ni sawa, na wote tuna lengo moja la kuijenga Tanzania yetu ambayo ni moja hivyo tunajenga nchi moja, tunajenga nyumba moja hatuna sababu ya kugombea fito.
Sisi washauri wa bure tulishauri, badala ya kususa na kuzungumzia pembeni, kwa vile rais Samia ameishaonyesha nia njema, mkutano huo ni fursa nzuri kwa Chadema kuwasilisha hoja zao kwa rais. Chadema wa huku nyumbani, hawakuiona fursa hiyo hivyo hawakuitumia.
Kitendo cha Chadema kuendelea kususa hata baada ya kuiona nia Njema ya rais Samia, ni uthibitisho wa kutojiamini na kuto aminiana, kitendo cha Chadema ya nyumbani Tanzania kususia mkutano wa vyama na rais Samia, huku ni kuonyesha Chadema ya nyumbani Tanzania, haina imani na nia njema ya kweli ya rais Samia kuliponya taifa, hivyo kususa kule, was a missed opportunity.
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.

Mayalla nafikiri iki ndio mbowe alikua analilia tangu awamu ya 5. Nakumbuka ata kwenye jukwaa na sherehe za kitaifa alikua anaomba maridhiano yafanyike kama taifa.
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita View attachment 2141741View attachment 2141742
Wanabodi,
CCM, wapinzani, sisi sote ni wamoja, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu ya kugombea fito, tuaminiane, CCM muwaaminie wapinzani ni Watanzania wenzetu, wana nia njema na taifa hili, na nyinyi wapinzani, muaminieni Mama Samia, iamimieni CCM, na kwa vile Mama Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, nia njema ya kuliponya taifa, hata ile hoja ya kuzuiwa mikutano ya hadhara, inaponyeka, hoja za wapinzani kunyanyaswa, zinaponyeka, uwezekano wa kuifumua Tume ya Uchaguzi na kuifanya shirikishi inawezekana, ujenzi wa uwanja sawa (level playing ground) yakucheza mchezo wa siasa, unawezekana.
Wasalaam
Tatizo Paskali na wenzako mna roho mbaya sana... Tanzania ni ya wote! Jifunzeni kuishi kwa mshikamano na wenzenu. Hamjui watakuwa akina nani hapo baadae!
Be kind!
Tatizo linakuja wanasiasa wanaporidhiana Wananchi wao wanasubiri waone picha na kauli za walioridhiana!
Ifike mahali wananchi waamke kujitetea badala ya kuwasubiri wanasiasa!
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia.
Sanasana Magufuli angewapiga risasi au kuwateka au kuwanyang'anya fedha kwenye akaunti zao
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita View attachment 2141741View attachment 2141742
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hili jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoshauri, hauna budi kupongeza.
Anzia hapa,
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
CCM, wapinzani, sisi sote ni wamoja, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu ya kugombea fito, tuaminiane, CCM muwaaminie wapinzani ni Watanzania wenzetu, wana nia njema na taifa hili, na nyinyi wapinzani, muaminieni Mama Samia, iamimieni CCM, na kwa vile Mama Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, nia njema ya kuliponya taifa, hata ile hoja ya kuzuiwa mikutano ya hadhara, inaponyeka, hoja za wapinzani kunyanyaswa, zinaponyeka, uwezekano wa kuifumua Tume ya Uchaguzi na kuifanya shirikishi inawezekana, ujenzi wa uwanja sawa (level playing ground) yakucheza mchezo wa siasa, unawezekana.
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita View attachment 2141741View attachment 2141742
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hili jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoshauri, hauna budi kupongeza.
Anzia hapa,
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
www.jamiiforums.com
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "Ukiaminiwa, Jiaminishe", Tanzania ni nchi ya wote, Watanzania wote, binadamu wote ni sawa, CCM na Wapinzani wote ni sawa, na wote tuna lengo moja la kuijenga Tanzania yetu ambayo ni moja hivyo tunajenga nchi moja, tunajenga nyumba moja hatuna sababu ya kugombea fito.
Serikali ya awamu ya 5, ina mazuri yake, ila haikuwa serikali ya kimalaika, ulikuwa inaongozwa na binaadamu hivyo inawezekana kuna mahali ilikosea hivyo ikafanya makosa. Kuna watu walipotea, kuna watu walipotezwa, kuna watu waliumizwa, na kwenye uendeshaji wa siasa zetu, kulikuwepo mgawanyiko wa makundi ya wenye nchi, watoto wa nyumbani CCM, la watoto wa kambo, wapinzani. Watoto wa nyumbani, wao walijisikia wako nyumbani kwao, wana rukhsa ya kufanya kila kitu, wakati watoto wa kambo walizuiliwa, hata kufanya, mikutano, kitu kilichoruhusiwa na katiba na wengi wa viongozi wao, kila uchao, waliozea magerezani.
Tulipoalikwa Ikulu, kuuzungumzia mwaka mmoja wa Awamu ya 5, mimi ni miongoni mwa tuliobahatika kuuliza maswali, mimi swali langu lilikuwa moja tuu, "Rais wa JMT anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na anaapa kuilinda, kuitetea na kuitelekeza katiba ya JMT, hivyo jambo ambalo limeruhusiwa na katiba, rais wa JMT, anapata wapi mamlaka ya kulizuia?. Sikumbuki nilijiwaje, ila kwa awamu ile, CCM na wapinzani walikuwa ni kama paka na panya.
Baada ya kutokea kilichotokea, tukapata mabadiliko na Mama Samia kuingia, siku ile analihutubia Bunge la JMT, rais Mama Samia kwa kauli na matendo, ameonyesha nia na dhamira ya kuliponya taifa kwa madhila tuyopitia, na kuwaunganisha Watanzania tuwe wamoja tena. Akatamka yuko tayari kukutana na wapinzani kwa kusisitiza, tunajenga nyumba moja, kwanini tugombee fito?.
Siku ya siku ya kukutana na wapinzani ikawadia, Msajili wa Vyama akavikalisha vyama vyote vya siasa pale Dodoma. Chama Kikuu cha Upinzani kwa huku Tanzania Bara, Chadema wakasusia mkutano ule kwa hoja ya hawata hudhuria kwasababu Mwenyekiti wa Chadema, yuko mahabusu.
Sisi washauri wa bure tulishauri, badala ya kususa na kuzungumzia pembeni, kwa vile rais Samia ameishaonyesha nia njema, mkutano huo ni fursa nzuri kwa Chadema kuwasilisha hoja zao kwa rais. Chadema wa huku nyumbani, hawakuiona fursa hiyo hivyo hawakuitumia.
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akaitumia fursa hiyo kikamilifu ikiwemo kumzungumzia Mbowe, na rais Samia akajibu pale pale, "Kusameheana kupo".
Kitendo cha Chadema kuendelea kususa hata baada ya kuiona nia Njema ya rais Samia, ni uthibitisho wa kutojiamini na kuto aminiana, kitendo cha Chadema ya nyumbani Tanzania kususia mkutano wa vyama na rais Samia, huku ni kuonyesha Chadema ya nyumbani Tanzania, haina imani na nia njema ya kweli ya rais Samia kuliponya taifa, hivyo kususa kule, was a missed opportunity.
Kwa jinsi Mungu alivyo mkubwa, ikatokea fursa rais Samia akafanya ziara ya Ubelgiji, M/Mwenyekiti sa Chadema, Tundu Lissu, akaichangamkia fursa hiyo, akaomba kuonana na rais Samia. Na Samia alivyo ni mtu wa hiyana, akakubali kuonana na Lissu na kufanya nae mazungumzo ya faragha.
Kitendo cha rais Samia kukubali kukutana na Tundu Lissu, ni uthibitisho wa ile nia ya dhati ya kulioponya taifa kwa kufuata ile filosofia ya Rais Samia ni rais Watanzania wote, ni rais wa wana CCM, ni rais wa wapinzani ni rais wa Watanzania wote hata wasio na vyama, lengo la kila Mtanzania ni kuijenga Tanzania yetu, hivyo CCM na wapinzani, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu yoyote ya kugombea fito.
Kwa vile ni mazungumzo ya faragha, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu chini ya Mkurugenzi mpya, Zuhura Yunus (hongera), ikaeleza kuhusu mkutano huo wa Rais Samia na Tundu Lissu bila kueleza kilicho zungumzwa.
Rais wa JMT, ndiye raia number moja wa JMT na ndie Mkuu kuliko mtu mwingine yeyote kimamlaka na kimadaraka ndani ya JMT. Sasa inapotokea mtu yeyote umeomba kumuona rais na kuongea nae jambo lako lolote na rais akakukubalia kumuona na kuongea nae, ile tuu kuongea na rais ni heshima kubwa, ina maana umeaminiwa.
Hivyo Tundu Lissu kukubaliwa kukutana na rais Samia, ni Lissu ameaminiwa. "Ukiaminiwa, jiaminishe". Baada ya mazungumzo, of course, lazima kuna hoja na maombi aliwasilisha kwa rais Samia.
Kwa vile Lissu ni mtu mdogo compared to Samia, na amekutana na mtu mkubwa, rais wa JMT, baada ya kikao, ukiona mkubwa amenyamaza, na wewe mdogo nyamaza!.
Moja ya mapungufu makubwa ya upinzani wa Tanzania, ni kupayuka payuka sana, kuropoka ropoka na kupiga sana kelele kuhusu karibu kila kitu!.
Kuna mambo ya kupigia kelele na kelele zikasaidia, lakini kuna mambo ya kufanywa kimya kimya, sio kila kitu ni kupayuka, kuropoka na kupiga kelele.
Kama Lissu ameaminiwa na kuzungumzia na rais Samia in confidence, kitendo cha kusema alichozungumza ni breach of confidence. Mambo mengine ni kujifunza kunyamaza, ukiaminiwa jiaminishe.
Kwa vile Mtangulizi wa Mama Samia, JPM, hutukumpangia, hivyo nashauri na Samia, tusimpangie!. Ukiomba kitu kwa mkubwa, hautoki na kuanza kupayuka umeomba nini!, Ukiomba kitu kistaarabu ni kunyamaza na ku subiri majibu. Hata katika kuomba vitu, enzi za ujana, kwani huwa unatangaza umeomba nini na kwa Nani?, Si unaomba kimya kimya, ukikubaliwa ndipo utatangaza tena ni kwa barua ya posa na sio kupayuka!. Hivyo ukiomba kitu kwa mkubwa, kisha wewe muombaji kutangazia umma umeomba nini, ni kama ama kumpangia ama kumshinikiza, hii inaweza kubadili matokeo, hata mjibu maombi angekuwa amepanga kuyatekeleza maombi yote kama muombaji alivyoomba, lakini kitendo cha muombaji kupayuka, kunaweza kumpelekea mjibu maombi akaamua asitekeleze maombi yako, maana akitekeleza, itaonekana ni kama alipangiwa.
CCM, wapinzani, sisi sote ni wamoja, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu ya kugombea fito, tuaminiane, CCM muwaaminie wapinzani ni Watanzania wenzetu, wana nia njema na taifa hili, na nyinyi wapinzani, muaminieni Mama Samia, iamimieni CCM, na kwa vile Mama Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, nia njema ya kuliponya taifa, hata ile hoja ya kuzuiwa mikutano ya hadhara, inaponyeka, hoja za wapinzani kunyanyaswa, zinaponyeka, uwezekano wa kuifumua Tume ya Uchaguzi na kuifanya shirikishi inawezekana, ujenzi wa uwanja sawa (level playing ground) yakucheza mchezo wa siasa, unawezekana.
Wiki iliyopita DPP kaifuta kwa Nolle kesi ya Mbowe, na Mbowe na washtakiwa wenzake kuachiwa huru, japo kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu ni DPP, lakini watu wote wenye hicho la tatu wanamjua ni Nani aliyemuachia Mbowe.
Mbowe baada tuu ya kuachiwa huru, siku hiyo alikwenda Ikulu kuzipunguza na rais Mama Samia, kila mtu mwenye akili, alijua Mbowe, alikwenda kuzungumza nini, lakini hatukumsikia Mbowe, akizungumzia walicho zungumza Samia. Mbowe anajua kunyamaza, Lissu ajifunze kunyamaza.
Kitendo cha kuachiwa kwa Freeman Mbowe ni the biggest political milestone ya rais Samia.
Asante sana Rais Samia, Big Up Sana.
CCM, wapinzani, sisi sote ni wamoja, tunajenga nyumba moja, hatuna sababu ya kugombea fito, tuaminiane, CCM muwaaminie wapinzani ni Watanzania wenzetu, wana nia njema na taifa hili, na nyinyi wapinzani, muaminieni Mama Samia, iamimieni CCM, na kwa vile Mama Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, nia njema ya kuliponya taifa, hata ile hoja ya kuzuiwa mikutano ya hadhara, inaponyeka, hoja za wapinzani kunyanyaswa, zinaponyeka, uwezekano wa kuifumua Tume ya Uchaguzi na kuifanya shirikishi inawezekana, ujenzi wa uwanja sawa (level playing ground) yakucheza mchezo wa siasa, unawezekana.
Katiba Mpya ndio muhimu zaidi kwa sasa, hiyo Tume Huru ya uchaguzi (uteuzi wa wajumbe, muundo na utendaji kazi wake) iwepo ndani ya Katiba Mpya (rasimu ya Warioba ingependeza zaidi).
Katiba iliyopo imejaa viraka vingi sana, sioni sababu ya kuendelea kuijaza viraka zaidi mwishowe hivyo viraka vije kubanduka mbele za watu mtu ajikute anabaki mtupu, tusisubiri aibu hiyo itukute muda ni sasa.
Kwani CHADEMA hawawezi kufanya siasa za kistaarabu kuliko hii wanayofanya? Matusi, kejeli, vurugu, maandamano haisaidii. Wabadilike sasa, hakuna haja ya kushindana na dola
Mkuu, Pasco ni kada wa chama chetu, Tatizo tunaenda na upepo wa mama. Kuna hata wabunge wetu walikuwa kimya wakati Mbowe anasulubiwa ila alivyoachiwa wameposti twita na insta kushangilia na kumpongeza mama, hatujui tusimamie wapi kwa kweli tuvumilieni tu😆
Pascal Mayalla hakuweza kuandika chochote juu ya kesi ya mbowe kwababu angeivua nguo serikali (rais) na yeye alishawahi kutana na msuli wa serikali sasa uwoga umemjaa...thibitisha kwa Uzi wake huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.