Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!

Wakuu,

Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?

UPDATE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.

Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.

View attachment 2232248View attachment 2232250
View attachment 2232257View attachment 2232258View attachment 2232259

View attachment 2232260
Hiki kinachotokea sasa kwa CCM kukaa meza moja na Chadema, tulikishauri humu.
Hongera CCM, Hongera Chadema.
P
 

Mayalla nafikiri iki ndio mbowe alikua analilia tangu awamu ya 5. Nakumbuka ata kwenye jukwaa na sherehe za kitaifa alikua anaomba maridhiano yafanyike kama taifa.

Tusubiri kipimo rasmi 2025
 
Deep down roho inakuuma sana, huamini macho yako.
Mtu aliyeandika hayo hapo juu, hawezi kuumizwa na mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa.
P
 
Tatizo Paskali na wenzako mna roho mbaya sana... Tanzania ni ya wote! Jifunzeni kuishi kwa mshikamano na wenzenu. Hamjui watakuwa akina nani hapo baadae!
Be kind!
 
Maridhiano ya wanasiasa yatakuwa na tija kama yataleta nafuu ya maisha kwa wananchi.
 
Maridhiano ya wanasiasa yatakuwa na tija kama yataleta nafuu ya maisha kwa wananchi.
Tatizo linakuja wanasiasa wanaporidhiana Wananchi wao wanasubiri waone picha na kauli za walioridhiana!
Ifike mahali wananchi waamke kujitetea badala ya kuwasubiri wanasiasa!
 
We jamaa unajipendekeza kwa chui jike lakini hakuteui hata kuwa mkuu wa District.
 
SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia.

Sanasana Magufuli angewapiga risasi au kuwateka au kuwanyang'anya fedha kwenye akaunti zao
 
 
Mwaka huu usipokunywa sumu sijui,inakuuma sana Chadema kuwa na maridhiano na Serikali. Roho yako mbaya itakupeleka jehanam soon
Mtu aliyeandika hayo anaweza kuwa na wivu na maridhiano?.
P
 
Pambana mkuu ATAKUONA TU...
 
Kuna vitu watu tulivisema humu, sasa vinaanza kutekelezwa, hivi hapa ukimpongeza Samia, utaonekana chawa?.
P
 
Pascal Mayalla ulikaa kimya sana kipindi chote MBOWE yuko ndani, hukuwahi kabisa kuliongelea swala lake wala mtiririko wa kesi yake.

Kuna uzi uliombwa useme neno, ukala mawe
Namuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, hivyo kuna vitu najitahidi sana kujizuia nisiongee, kesi zilizoko mahakamani ni moja wapo.
P
 
Naunga mkono hoja, mwaka huu najipanga kufanya kitu.
P
 
Kwani CHADEMA hawawezi kufanya siasa za kistaarabu kuliko hii wanayofanya? Matusi, kejeli, vurugu, maandamano haisaidii. Wabadilike sasa, hakuna haja ya kushindana na dola
Sasa wamebadilika na matokeo ndio haya.
P
 
Duh...!. Haya bana!.
P
 
Pascal Mayalla hakuweza kuandika chochote juu ya kesi ya mbowe kwababu angeivua nguo serikali (rais) na yeye alishawahi kutana na msuli wa serikali sasa uwoga umemjaa...thibitisha kwa Uzi wake huu
Duh...!. Wakati wa mgao wa uoga na aibu, mimi nilichelewa hivyo nikakosa.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…