Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Radio mwanzoni mwa wiki hii.

Je, unamkubalia HS, au mnampinga?
 
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya Mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu Kwetu hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na Deni kwa Wachezaji wetu Waliopambana' Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) alipokuwa akizungumza na Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Radio mwanzoni mwa Wiki hii.

Je, unamkubalia HS au Unampinga?
Fresh tu......wanayanga akili zipo nbc,,,,,,mbio za upande wa huko tunajua zinaishiaga ukingoni mwa sakafu tu
 
Hawa watu si wamekuwa wanaongelea kucheza nusu fainali sijui kuchukua ubingwa?
 
Kumbe rais alienda efm???akati msukule ulisema watasitisha mahusiano ya kikazi na efm kama majizzo hatamtimua jemedari.

Ila sukule sjui linajikutaga nani hapa town??...
 
Kumbe rais alienda efm???akati msukule ulisema watasitisha mahusiano ya kikazi na efm kama majizzo hatamtimua jemedari.

Ila sukule sjui linajikutaga nani hapa town??...
,
1660262109234.jpg
 
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Radio mwanzoni mwa wiki hii.

Je, unamkubalia HS, au mnampinga?
Mbumbumbu nilishasema akili zenu ni za kivukia barabara, Kila timu ina mipango yake na nyie fateni alichokisema Eng. Majibu mtayapata soon🤣🤣
 
Back
Top Bottom