GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fresh tu......wanayanga akili zipo nbc,,,,,,mbio za upande wa huko tunajua zinaishiaga ukingoni mwa sakafu tu"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya Mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu Kwetu hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na Deni kwa Wachezaji wetu Waliopambana' Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) alipokuwa akizungumza na Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Radio mwanzoni mwa Wiki hii.
Je, unamkubalia HS au Unampinga?
,Kumbe rais alienda efm???akati msukule ulisema watasitisha mahusiano ya kikazi na efm kama majizzo hatamtimua jemedari.
Ila sukule sjui linajikutaga nani hapa town??...
Mbumbumbu nilishasema akili zenu ni za kivukia barabara, Kila timu ina mipango yake na nyie fateni alichokisema Eng. Majibu mtayapata soon🤣🤣"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Radio mwanzoni mwa wiki hii.
Je, unamkubalia HS, au mnampinga?
Hao ni SimbaHawa watu si wamekuwa wanaongelea kucheza nusu fainali sijui kuchukua ubingwa?
Hata Yanga na wacha mbuzi wao wamekuwa wanasema hivyo hivi karibuni