Asante sana Toyota Cars

Hongera, yako bei rahisi. Mimi pil ilivuja kwa mbele, nilishusha gear box, seal ilikuwa 25k. Nilibadili 2 hivyo was 50k, plus ufundi 50k. Ilinitoka 100k. Ila, mine wa gx 100 chaser Avante.
 
waambie mkuu,wawe na hekma waache dharau.
 
Huna kosa lolote. Kumwambia mtu hajawa tayari kumiliki gari siyo tusi wala kosa bali ni ukweli. Mbona wako watu wengi tu ambao wanakubalina na hii hali? Kuna familia zinaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga na kila siku wanasema ni hali tu inawafanya waishi hivyo lakini siyo mapenzi yao.
 
Spare za Toyota Bei cheap, hiyo seal original yake 10,000
 
waambie mkuu,wawe na hekma waache dharau.
Hakuna mtu anayeweza kukudharau kama hujajidharau mwenyewe. Jamaa kasema ukweli. Na mimi nakazia. Ukiona una gari halafu kununua mafuta au spare kunakufanya uwe na ''ugonjwa wa moyo'' basi ulikuwa huko tayari ki-uwezo kununua gari. Haijalishi kama ni shida au hitaji fulani la lazima lililokufanya ukanunua!
 
umemjibu vizuri huyo mshamba
 
Unaposema tu Toyota unakua hujaeleweka,lazima uwe specific unaongelea gari ipi hasa?

Maana hata Land cruiser V8 ni Toyota pia.
Huna gari wewe,wenye magari au wazoefu wa magari wamemuelewa kwa mapana,

Kwamba gari za kampuni ya TOYOTA, haswa hizi za watu wa kawaida, spare zake Ni cheap na zipo nyingi, hata hizo V8 kampuni ya TOYOTA, spare zake pia zipo za kumwaga
 
Huna gari wewe,wenye magari au wazoefu wa magari wamemuelewa kwa mapana,

Kwamba gari za kampuni ya TOYOTA, haswa hizi za watu wa kawaida, spare zake Ni cheap na zipo nyingi, hata hizo V8 kampuni ya TOYOTA, spare zake pia zipo za kumwaga
Ndio umeandika nini wewe hamnazo? Gari unaona ni kitu kikubwa sana mpaka chakutokuamini?

Wewe unajua mimi naishi wapi mpaka mtu akitaja spare ya elfu 5 nijue ni gari gani?

Acha kukariri maisha,jf ni international forums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…