The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo hua sio dalili nzuri.Hehehee bwana tajiri wetu samahani sana nimekosea kujibishana na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume kujichekesha chekesha hovyo hua sio dalili nzuri.Hehehee bwana tajiri wetu samahani sana nimekosea kujibishana na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
watu mna roho mbaya,mnawatisha watu wasinunue magari,ili muonekane peke yenu ndo mko safi.Mnamiliki magari huku mna hela ya mawazo, utakufaaa 😁😁😁
acheni roho mbaya,mnataka mmiliki magari peke yenu.Bado hujafikia level ya kumiliki Gari,sema unalazimisha tu.
watu kama hao hata baiskeli hawana..lazimisha na wewe uwe nalo uone kama inawezekana
Hongera, yako bei rahisi. Mimi pil ilivuja kwa mbele, nilishusha gear box, seal ilikuwa 25k. Nilibadili 2 hivyo was 50k, plus ufundi 50k. Ilinitoka 100k. Ila, mine wa gx 100 chaser Avante.Nimetoka sehemu na gari yangu,kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto,dah yote imelowa oil,
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff,seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni,mambo yako ovyo vibaya sana,fundi akatoa oil seal,kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano),nilijua labda wamekosea bei,kumbe ni sawa,nikampa fundi akafunga,nae nikampoza 5000/=,jumla nimetumia 10 tu,
Kweli kuna gari kali sana duniani,ila mwacheni toyota abaki kuwa toyota.
waambie mkuu,wawe na hekma waache dharau.Sio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.
Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.
Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
Huna kosa lolote. Kumwambia mtu hajawa tayari kumiliki gari siyo tusi wala kosa bali ni ukweli. Mbona wako watu wengi tu ambao wanakubalina na hii hali? Kuna familia zinaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga na kila siku wanasema ni hali tu inawafanya waishi hivyo lakini siyo mapenzi yao.Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,
Nyie ndio mtu akileta thd hapa kua kapigika na maisha hua wazuri wa kufariji,mara komaa mkuu utatoka tu,
Ila mtu akiongelea kidogo tu kua yupo vizuri kwa mtazamo wake mnaanza ngonjera zenu,mnapenda sana kusikia habari za watu wanadhiki japo mpate kujifariji kua kumbe kuna watu nao wanateseka! Badili hiyo fixed mind mentality ili upate kwenda mbele japo kidogo,
Halafu hiyo comment yangu nimemjibu kapuku mwenzako kutokana na swali lake alivyouliza.
Spare za Toyota Bei cheap, hiyo seal original yake 10,000Nimetoka sehemu na gari yangu,kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto,dah yote imelowa oil,
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff,seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni,mambo yako ovyo vibaya sana,fundi akatoa oil seal,kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano),nilijua labda wamekosea bei,kumbe ni sawa,nikampa fundi akafunga,nae nikampoza 5000/=,jumla nimetumia 10 tu,
Kweli kuna gari kali sana duniani,ila mwacheni toyota abaki kuwa toyota.
Hakuna mtu anayeweza kukudharau kama hujajidharau mwenyewe. Jamaa kasema ukweli. Na mimi nakazia. Ukiona una gari halafu kununua mafuta au spare kunakufanya uwe na ''ugonjwa wa moyo'' basi ulikuwa huko tayari ki-uwezo kununua gari. Haijalishi kama ni shida au hitaji fulani la lazima lililokufanya ukanunua!waambie mkuu,wawe na hekma waache dharau.
Acha wivu chiefMimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
umemjibu vizuri huyo mshambaSio wote wanaonunua magari wako vizuri au wana uwezo sana, kuna sababu tu mbalimbali zinafanya mtu ulazimike kuwa na gari.
Mbona fresh tu,nadhani mtoa mada alikuwa na lengo la kusifia urahisi wa kumiliki gari ya toyota,hata ikitokea mambo yamekuwa magumu unaweza kutatua tatizo la kiufundi kwa hela kidogo.
Tuache kujikweza bila sababu za msingi wakuu.una magari mengi .... si vibaya safi sana....
tajiri wa jf,majigambo kibao😂😂😂😂Hehehee bwana tajiri wetu samahani sana nimekosea kujibishana na tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto unawasumbua haoJamii forum kila mtu tajiri na kila mtu mjuaji.Mtoa mada kaelezea vizuri suala lake na vile amejisikia baada ya kutatua tatizo.Watu mnaleta kebehi na majuvuno kwenye uzi wake.Ni bora muanzishe wenu wa kujikweza!
Huna gari wewe,wenye magari au wazoefu wa magari wamemuelewa kwa mapana,Unaposema tu Toyota unakua hujaeleweka,lazima uwe specific unaongelea gari ipi hasa?
Maana hata Land cruiser V8 ni Toyota pia.
Sasa a diagnose nini wakati anajua kabisa tatizo ni oil sili ya diff imetoka? Hebu acheni basi ushambaDiagnosis haipungui 40000 huyu ana passo
Ndio umeandika nini wewe hamnazo? Gari unaona ni kitu kikubwa sana mpaka chakutokuamini?Huna gari wewe,wenye magari au wazoefu wa magari wamemuelewa kwa mapana,
Kwamba gari za kampuni ya TOYOTA, haswa hizi za watu wa kawaida, spare zake Ni cheap na zipo nyingi, hata hizo V8 kampuni ya TOYOTA, spare zake pia zipo za kumwaga
Wivu uko wapi hapo? Hivi upo sawa wewe upstairs kweli?Acha wivu chief