wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Duuh Ghafla Wana JF wote wameanza kumiliki BMW, Mercedes,Audi,Maserati,VW
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota wanahusikaje hapo?Nimetoka sehemu na gari yangu,kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto,dah yote imelowa oil,
Kumwita fundi anasema ni oil ya diff,seal ya ekseli imekufa.
Nikicheki mfukoni,mambo yako ovyo vibaya sana,fundi akatoa oil seal,kwenda dukani wananiambia sh 5000/(elfu tano),nilijua labda wamekosea bei,kumbe ni sawa,nikampa fundi akafunga,nae nikampoza 5000/=,jumla nimetumia 10 tu,
Kweli kuna gari kali sana duniani,ila mwacheni toyota abaki kuwa toyota.
Kwahiyo mkuu ili uwe tayari kumiliki gari ,haitakiwi uwe na pesa za mawazo za kununua spare?Hakuna mtu anayeweza kukudharau kama hujajidharau mwenyewe. Jamaa kasema ukweli. Na mimi nakazia. Ukiona una gari halafu kununua mafuta au spare kunakufanya uwe na ''ugonjwa wa moyo'' basi ulikuwa huko tayari ki-uwezo kununua gari. Haijalishi kama ni shida au hitaji fulani la lazima lililokufanya ukanunua!
Acha masifa wewe na vigari vyako hivyo.Mimi magari ninayo na sio moja tu pia sio kwa kulazimisha,
Naona kisu kimekuchoma kunako ndio maana ukatoka shimoni.
E100Unaposema tu Toyota unakua hujaeleweka,lazima uwe specific unaongelea gari ipi hasa?
Maana hata Land cruiser V8 ni Toyota pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi tambo zanini kwa hizi fake ID zetu?
JF kila mtu tajiri[emoji23][emoji23]
Hiyo comment naona umewauma sana eeh? Hakuna sifa hapo,soma niliyemquote kwanini nimemjibu hivyo na alikua kaniuliza nini?Acha masifa wewe na vigari vyako hivyo.
Umeandika kipumbavu na kwa majivuno lakini UMESEMA UKWELI.Kwa umasikini wako unaona ni tambo ila ungekua vizuri ungeona ni jambo la kawaida,
Nyie ndio mtu akileta thd hapa kua kapigika na maisha hua wazuri wa kufariji,mara komaa mkuu utatoka tu,
Ila mtu akiongelea kidogo tu kua yupo vizuri kwa mtazamo wake mnaanza ngonjera zenu,mnapenda sana kusikia habari za watu wanadhiki japo mpate kujifariji kua kumbe kuna watu nao wanateseka! Badili hiyo fixed mind mentality ili upate kwenda mbele japo kidogo,
Halafu hiyo comment yangu nimemjibu kapuku mwenzako kutokana na swali lake alivyouliza.
Mkuu gari ni hitaji kama mahitaji mengine tu ya familia,na mtu inatakiwa anunue gari kulingana na mahitaji yake,sijajua wewe gari unalichukuliaje yaani,dunia imebadirikaBado hujafikia level ya kumiliki Gari,sema unalazimisha tu.
Upumbavu wako ndio unaokufanya uhisi kila mtu ni mpumbavu kama ulivyo wewe.Umeandika kipumbavu na kwa majivuno lakini UMESEMA UKWELI.
Japo wewe ni MPUMBAVU lakini nimekupa like kwa KUSEMA UKWELI.
Huu mtandao wa JF ni shida.Duuh Ghafla Wana JF wote wameanza kumiliki BMW, Mercedes,Audi,Maserati,VW
Gari ni chombo cha usafiri tu wala sio dalili ya utajiri,mimi nimemaanisha kua mtu kama hujajipanga kumiliki gari unaweza kuona ni kama mateso au gari likakufilisi hata kidogo ulichonacho.Mkuu gari ni hitaji kama mahitaji mengine tu ya familia,na mtu inatakiwa anunue gari kulingana na mahitaji yake,sijajua wewe gari unalichukuliaje yaani,dunia imebadirika
Yeye hajaona mateso lakini na hajalalamika,ila katika hali yake hiyo amesifia kampuni,by the way ni sawa kutofautiana mtizamoGari ni chombo cha usafiri tu wala sio dalili ya utajiri,mimi nimemaanisha kua mtu kama hujajipanga kumiliki gari unaweza kuona ni kama mateso au gari likakufilisi hata kidogo ulichonacho.
Kuna mabinti wamepanic coz wamekariri kua mtu akisema ana Gari maana yake ni tambo au anajisifu! Hizi ni fixed mind mentality za kimasikini sana,Dunia ya leo kumiliki Gari si jambo kubwa sana au kua ni kitu cha ajabu,ila mtu akisema kapigika na maisha wao huona ni sawa coz ndio habari zinazowafariji hizo.Yeye hajaona mateso lakini na hajalalamika,ila katika hali yake hiyo amesifia kampuni,by the way ni sawa kutofautiana mtizamo
duh kwa hiyo wewe ndo umechaguliwa na watengeneza magari ili uweke vigezo kwa mtu anaetaka kumiliki gari?kwa vigezo vyako kwamba ukiwa na gari lolote,ghafla likaharibika na ukakwama kwa muda kununua spea hitajika,basi hufai kumilliki gari,nafikiri dunia hii wenye magari ingekuwa mmoja kwa elfu moja...Hakuna mtu anayeweza kukudharau kama hujajidharau mwenyewe. Jamaa kasema ukweli. Na mimi nakazia. Ukiona una gari halafu kununua mafuta au spare kunakufanya uwe na ''ugonjwa wa moyo'' basi ulikuwa huko tayari ki-uwezo kununua gari. Haijalishi kama ni shida au hitaji fulani la lazima lililokufanya ukanunua!
hatari sana,hao ni wenye magari ya baba..Kwamba ili umiliki gari unatakiwa uwe na pesa ya akiba isiyoisha muda wote yenye uwezo wa kununua gari jingine au mawili hivi.😁!
Nimegundua kuwa masikini ana roho mbaya kuliko mchawi[emoji23][emoji23]Mnamiliki magari huku mna hela ya mawazo, utakufaaa [emoji16][emoji16][emoji16]