Asante sana watanzania kwa kususia mechi za Simba na Yanga

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.

Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.

Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.

Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.

Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
 
Amina
 
Mwendo na ule ule hawawezi kutuua kama kuku na goli lao la mama
 
Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.

Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.

Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.

Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.

Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
Nchi inazaliwa Upya
 
Yes, bora hata Simba walimzomea Bibi Nwinywi alipojidai kudandia tamasha lao; Yanga wanatakiwa wapoteane kabisa na dalili zipo wazi jerzy tayari wanashindwa kuuza
 
Nimeshangaa sana mechi ya Simba leo watazamaji kiduchu tena kwa Mkapa..!!!
 
Mdogo mdogo tutafika ....Haya matimu wanayatumia kutupumbaza na kupush agenda zao. ..... Nimeyapotezea kabisa, uwanjani nimeacha kwenda, jez sinunui, silipii kadi ya uanachama
 
Back
Top Bottom