Asante sana watanzania kwa kususia mechi za Simba na Yanga

Asante sana watanzania kwa kususia mechi za Simba na Yanga

Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.

Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.


Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.

Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.

Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
Screenshot_20251113-171829~2.png
 
Back
Top Bottom