AminaJana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.
Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.
Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.
Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
Mwendo na ule ule hawawezi kutuua kama kuku na goli lao la mamaJana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.
Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.
Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.
Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
Usisahau pia watu wengi akili zao zote zinawaza ukombozi tu wa Tanganyika ifikapo D9! Mtafute mapema pa kukimbilia.Uliyesusa ni wewe tu
Nchi inazaliwa UpyaJana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.
Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.
Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.
Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
HeheheSimba ya Yanga hata kusema pole hakuna
Yes, bora hata Simba walimzomea Bibi Nwinywi alipojidai kudandia tamasha lao; Yanga wanatakiwa wapoteane kabisa na dalili zipo wazi jerzy tayari wanashindwa kuuzaJana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.
Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya Simba na Petro de Luanda. Hii ni ishara njema ya ukombozi.
Kwa miaka mingi hizi timu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kuwapumbaza watanzania wasifuatilie mambo ya msingi kuhusu nchi yao.
Kwa mwamko huu, Tanzania mpya inakuja tarehe 9 D.
Bibi nywinywinywi anakonda kila uchwaoBibi Nwinywi alipojidai kudandia tamasha lao; Yanga wanatakiwa wapoteane
Mimi wala sijashangaa. Kwanza waliohudhuria walikuwa wengi kuliko ilivyotakiwa. Turufu ya Sirikali sasa hivi ni hii mipira itusahaulishe.Nimeshangaa sana mechi ya Simba leo watazamaji kiduchu tena kwa Mkapa..!!!
Tangu uanze kuliwa makalio na Abdul,na akili zako zimerudi huko huko kwenye makalio,hasara tupuUliyesusa ni wewe tu