Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall.

Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
 
Nimeamini Kuna watu wanaigombanisha serikali na wananchi.
 
Uzuri hata ikibuma kuna siasa yake,nakumbuka ilitokea kwenye ule utabiri wa kimbunga!😁
 
Wasukuma watuambie hii elininyo tafasiri yake ni nini? maana mvua zitaanzia kwao kanda ya ziwa
 
Elininyo isipokuja Wanu ataficha wapi sura yake maana keshavuruga ratiba za mitihani na shule kwa ujumla.

Ila tujiandae wakuu kama mimi nilivyofanya 💪

IMG-20260913-WA0064(1).jpg
 
Back
Top Bottom