Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,408 Reaction score 12,100 Oct 4, 2026 #1 Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall. Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
Asante serikali ya mama, tumeona utabiri wenu mzuri. Elininyo imepiga ya kutosha mpaka sasa, na zile bilioni zimeanza tumika vyema, ingawa kanda ya ziwa wamepokea Aluminium rainfall. Acheni siasa kwa mambo ya kitaalamu
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,880 Reaction score 3,042 Oct 4, 2026 #2 Hahahahaha... Watakuwa walijichanganya, itakuwa walitaka kusema Elinyo - yule character kwenye tamthilia ya SHADE OF SIN .
Hahahahaha... Watakuwa walijichanganya, itakuwa walitaka kusema Elinyo - yule character kwenye tamthilia ya SHADE OF SIN .
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 4, 2026 #3 Kuna mvua huko?
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 2,943 Reaction score 4,707 Oct 4, 2026 #4 Ndombwindo said: Hahahahaha... Watakuwa walijichanganya, itakuwa walitaka kusema Elinyo - yule character kwenye tamthilia ya SHADE OF SIN . Click to expand... Baba Elinyo
Ndombwindo said: Hahahahaha... Watakuwa walijichanganya, itakuwa walitaka kusema Elinyo - yule character kwenye tamthilia ya SHADE OF SIN . Click to expand... Baba Elinyo
WAIKORU JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,812 Reaction score 3,045 Oct 4, 2026 #5 Wavuvi ndio wataalamu wa Hali ya hewa...Hawa wa darasani sina uhakika nao
supatolu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2022 Posts 329 Reaction score 363 Oct 4, 2026 #6 Hapa niko na wadau walipewa dili la kuzibua mitaro kwa ajili ya maandalizi ya el nino. Wanachoniadithia ni uchungu tupu.
Hapa niko na wadau walipewa dili la kuzibua mitaro kwa ajili ya maandalizi ya el nino. Wanachoniadithia ni uchungu tupu.
supatolu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2022 Posts 329 Reaction score 363 Oct 4, 2026 #7 Nimeamini Kuna watu wanaigombanisha serikali na wananchi.
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Oct 4, 2026 #8 Uzuri hata ikibuma kuna siasa yake,nakumbuka ilitokea kwenye ule utabiri wa kimbunga!😁
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,048 Reaction score 3,050 Oct 4, 2026 #9 Wasukuma watuambie hii elininyo tafasiri yake ni nini? maana mvua zitaanzia kwao kanda ya ziwa
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Oct 4, 2026 #10 Karne said: Uzuri hata ikibuma kuna siasa yake,nakumbuka ilitokea kwenye ule utabiri wa kimbunga! Click to expand... Imeshabuma tayari hao pimbi warudishe pesa ya wananchi!
Karne said: Uzuri hata ikibuma kuna siasa yake,nakumbuka ilitokea kwenye ule utabiri wa kimbunga! Click to expand... Imeshabuma tayari hao pimbi warudishe pesa ya wananchi!
Muuza Majeneza Used Member Joined Aug 17, 2026 Posts 54 Reaction score 122 Oct 4, 2026 #11 Bongo ukifa na stress umeamua mwenyewe tu😀
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Oct 4, 2026 #12 Ila minyumbu Ina kazi awamu hii aisee!!!
Tonny Kapola Gas Station JF-Expert Member Joined Aug 14, 2025 Posts 1,023 Reaction score 3,334 Oct 4, 2026 #13 Elininyo isipokuja Wanu ataficha wapi sura yake maana keshavuruga ratiba za mitihani na shule kwa ujumla. Ila tujiandae wakuu kama mimi nilivyofanya 💪
Elininyo isipokuja Wanu ataficha wapi sura yake maana keshavuruga ratiba za mitihani na shule kwa ujumla. Ila tujiandae wakuu kama mimi nilivyofanya 💪