Asante Serikali kwa kuliona tatizo pale TFF

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
shaffihdauda_~p~CiKkxvJqbz_~1.jpg

Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia.

Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu.

NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
 
Mwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano
 
Stupidity, uliwahi kuona Team ya Taifa ikiwa mazoezini? Ushawahi kuona TBC wanatangaza mpira? Unajua kuwa Mwakinyo alikimbilia US kwa sababu ya mazingira magumu ya kimichezo TZ? Unajua kuwa waTanza-nia huwa wanashiriki michezo bila Taifa kuwa acknowledge? Michezo mashuleni iliishia wapi?
 
Mpira ni sayansi siku zote matokeo huja baada ya muda fulani kupita. Kuagiza BMT wakutane na TFF ni kukwepa wajibu mpana wa kiserikali.

Iwekeze michezoni kwa nguvu kubwa ndio suluhisho la muda mrefu. Rais SSH aliongelea juu ya uwekezaji unaotaka kufanyika pale Tanganyika Packers, isiishie kuwa ni siasa ya maneno matamu yanayosemwa wakati wa ghafla maalum, waende mbali zaidi.
 
HIZO Habari zakuwekeza kwa miaka flani kwa hapa bongo hilo halipo mzee
 
Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia.

Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu.

NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
Safi sana its high time pale tff pafanyiwe mabadiliko, ata yule mkurugenzi wa ufundi nae wamchunguze....hamna la maana analofanya hapo
 
Stupidity, uliwahi kuona Team ya Taifa ikiwa mazoezini? Ushawahi kuona TBC wanatangaza mpira? Unajua kuwa Mwakinyo alikimbilia US kwa sababu ya mazingira magumu ya kimichezo TZ? Unajua kuwa waTanza-nia huwa wanashiriki michezo bila Taifa kuwa acknowledge? Michezo mashuleni iliishia wapi?
Tz wachezaji wa kigeni ndiyo wanapewa airtime
Wachezaji wa ndani hawasikiki

Ova
 
Mpira ni sayansi siku zote matokeo huja baada ya muda fulani kupita. Kuagiza BMT wakutane na TFF ni kukwepa wajibu mpana wa kiserikali.

Iwekeze michezoni kwa nguvu kubwa ndio suluhisho la muda mrefu. Rais SSH aliongelea juu ya uwekezaji unaotaka kufanyika pale Tanganyika Packers, isiishie kuwa ni siasa ya maneno matamu yanayosemwa wakati wa ghafla maalum, waende mbali zaidi.
Usimba na yanga ndiyo unaua mpira bongo ...nguvu yote iko huko

Ova
 
Back
Top Bottom