Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Yanga, Simba na CCM ndio vyanzo vya kudorora kwa hii nchi katika kila sekta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Msomali hawezi kuwa na uchungu na Tanzania.Huwa nauliza mara kwa mara huyu Karia aliokotwa wapi?
Atachunguzwa na nani?Mwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano
labda kwenye timu za wanawakeHizo ni siasa tu
Karia ana mapungufu yake ila amefanya kazu nzuri
Hakuongopa ila alidanganya. Mhuni hujibiwa kihuni si kistaarabu, Mwakinyo ni MhuniMwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano