Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
TFF ya Simba na mikia yak
USSR
Chuki yake iko wazi kabisa inaonekana kuhusu yangaTFF na Karia wao wapo bize kuihujumu Yanga, hawana ajenda ya maendeleo ya mpira Tanzania.
Wakishajua aliongopa watamfanya nini?. Wamemsaidia nini cha maana mpaka kufika alipofika?.Mwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano
HIZO Habari zakuwekeza kwa miaka flani kwa hapa bongo hilo halipo mzeeMpira ni sayansi siku zote matokeo huja baada ya muda fulani kupita. Kuagiza BMT wakutane na TFF ni kukwepa wajibu mpana wa kiserikali.
Iwekeze michezoni kwa nguvu kubwa ndio suluhisho la muda mrefu. Rais SSH aliongelea juu ya uwekezaji unaotaka kufanyika pale Tanganyika Packers, isiishie kuwa ni siasa ya maneno matamu yanayosemwa wakati wa ghafla maalum, waende mbali zaidi.
Halafu uchunguzi wa rushwa unapaswa kufanywa na Takukuru na siyo BMT.Mwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano
Kama halipo tusahau mafanikio ya maana ya michezo, itaishia kuwa ni bahati nasibu tu. Mpira ni sayansi hauna njia za mikato.HIZO Habari zakuwekeza kwa miaka flani kwa hapa bongo hilo halipo mzee
c nimesikia wanarudia pambanoHalafu uchunguzi wa rushwa unapaswa kufanywa na Takukuru na siyo BMT.
Safi sana its high time pale tff pafanyiwe mabadiliko, ata yule mkurugenzi wa ufundi nae wamchunguze....hamna la maana analofanya hapo
Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia.
Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu.
NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
Yeah! Hawa ni wanafikisasa mbona teams za vijana na za wanawake na za walemavu zimesifiwa au hazipo chini ya TFF?
Tz wachezaji wa kigeni ndiyo wanapewa airtimeStupidity, uliwahi kuona Team ya Taifa ikiwa mazoezini? Ushawahi kuona TBC wanatangaza mpira? Unajua kuwa Mwakinyo alikimbilia US kwa sababu ya mazingira magumu ya kimichezo TZ? Unajua kuwa waTanza-nia huwa wanashiriki michezo bila Taifa kuwa acknowledge? Michezo mashuleni iliishia wapi?
Usimba na yanga ndiyo unaua mpira bongo ...nguvu yote iko hukoMpira ni sayansi siku zote matokeo huja baada ya muda fulani kupita. Kuagiza BMT wakutane na TFF ni kukwepa wajibu mpana wa kiserikali.
Iwekeze michezoni kwa nguvu kubwa ndio suluhisho la muda mrefu. Rais SSH aliongelea juu ya uwekezaji unaotaka kufanyika pale Tanganyika Packers, isiishie kuwa ni siasa ya maneno matamu yanayosemwa wakati wa ghafla maalum, waende mbali zaidi.
Huwa nauliza mara kwa mara huyu Karia aliokotwa wapi?TFF na Karia wao wapo bize kuihujumu Yanga, hawana ajenda ya maendeleo ya mpira Tanzania.