Asante Serikali kwa kuliona tatizo pale TFF

Yanga, Simba na CCM ndio vyanzo vya kudorora kwa hii nchi katika kila sekta.
 
Hizo ni siasa tu
Karia ana mapungufu yake ila amefanya kazu nzuri
 
TFF imenifanya niache kabisa kuifuatilia Taifa stars. Yaani saizi hata ikifungwa roho hainiumi kabisa
 
Mwakinyo aliongopa Sasa itamghalimu maana uchunguzi utafanyika Ili kubaini Kama kweli kiatu kilifanya ashindwe katika pambano
Hakuongopa ila alidanganya. Mhuni hujibiwa kihuni si kistaarabu, Mwakinyo ni Mhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…