Uchaguzi 2020 Asante Serikali kwa maandalizi bora ya Uchaguzi 2020

Uchaguzi 2020 Asante Serikali kwa maandalizi bora ya Uchaguzi 2020

Naona umeanzisha mada na kujichangia mwenyewe...
Kwasasa hii sio habari ya mjini ...ishu hot ni kwenye mawakala na kulinda kura
Unalindaje kura kwa mfano.....

Kama mmeshindwa kuweka mawakala shauri yenu, wenzenu CCM wanatoa elimu ya namna yabkupiga kura kwa wagombea wao na kuandaa mawakala mlikuwa bize mnabeza maendeleo ya vitu na kutukana Magufuli.

Sasa kiama kimewafuma mnakimbia hovo hovo kudai issue kulinda kura na mawakala. Subiri dozi iwatandike
 
Kwenye eneo langu, vituo vipo vingi Sana. Foleni fupi fupi na wasimamizi wapo makini sana. Nimeona idadi kubwa ya watanzania, wakitimiza haki yao ya kikatiba. Hongereni sana tume ya taifa ya uchaguzi.
 
Ninacho Subiria ni Kuapishwa tu Kwa Magufuli

Lissu arudi tu ubeligiji watanzania wamesema inatosha sasa...

IMG_2854.jpg
 
Hata Ukiwa Na UFO VPN Unatumia Internet Na Kupiga Kura 😁😂😀😅😏😏😀😁😂
 
Lisu akifikiri kwenda kununua nyanya kariakoo kutamsaidia chochote
 
Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli.

Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.

Nashukuru nimemalizana na genge haramu la ccm. Ukweli umezidi kudhihirika kuwa idadi ya wapiga kura 29m+ ni idadi ya kupika. Idadi ya wapiga kura ni chache kuliko maelezo. Nawapongeza watanzania kwa kupuuza zoezi la kupiga kura kwani limetawaliwa na ghiliba kupitia ccm, tume ya uchaguzi na serekali. Hii maana yake ni kuwa tutakuwa na viongozi walioko kisheria, lakini wasio na uhalali wa umma. Hakuna uwezekano wa wapiga kura kufika 15m. Hongera watanzania kwa kupuuza dhuluma.
 
Umati wa lisu imesombwa na mafuriko haupo vituoni
Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli.

Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.
 
Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli.

Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.
As inferred from lows in your cover name, eugenics rule you and the likes of you squarely off of any possible propagation of your progeny. Ever so disgusting!
 
Mwamko sio mkubwa kwa wapiga kura!Kituo nilichoenda kupiga kura nilikuwa mwenyewe tu!
Nikweli kabisa muamko umekua mdogo sana sana, kituo nilichopigia kura leo ndio hicho hicho nilichopigia kura 2015 kwakweli hali niliyoikuta leo imenishangaza sana nilitarajia kukuta msurulu mrefu kama ilivyokua 2015 lkn leo nimeenda majira ya saanne asubuhi sijakuta foleni hata yawatu wawili yn ndani kulikua najamaa mmoja tu anaepiga kura bas nikamsubiri akatoka nami nikaingia nikapiga kura nikaondoka kwakweli nimeshangaa sana nimekuja kumsimulia jamaa yangu mmoja hapa anasema wapiga kura wengi wapo kijijini mjini watu wanamambo yao mengi; HIVI NIKWELI?

NASHAURI WASIOENDA HADI SASAHIV WAENDE WAKAPIGE KURA WANDUGU
 
Back
Top Bottom