Asante Serikali, soda imepanda kwa 40%

Asante Serikali, soda imepanda kwa 40%

Wangeweka Buku tu,ili wasiangaike kutafuta chenji ya mia tatu kwa Buku.
 
Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700.
Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500.
Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea za Kiingereza bila maumivu?
Sawa
 
Mwigulu huyo
 
Kumbe bei bado iko chini hvyo!!, natarajia ifikie ml350 =tsh.2000/
 
Hii nchi hata cjui inaelekea wapii
Itaishia pabaya Sana Yan Maza yeye
Anataka Tu pesa za kuzunguka
Worldwide huku wananchi wakiteseka
Hajali sio hata tu kutafta safari wananchi sio sehemu ya majukumu yake.
 
Back
Top Bottom