Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Mbege ni outstanding meku,huwezi kuifananisha na pombe yoyote nyingine.Itapunguza matumizi ya mbege
Kwako Benjamin Netanyahu wa Ufipa st [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbege ni outstanding meku,huwezi kuifananisha na pombe yoyote nyingine.Itapunguza matumizi ya mbege
Kwako Benjamin Netanyahu wa Ufipa st [emoji23]
Kwani kuna viwanda basi? Wananunua Ethanol 95% wanai dilute kienyeji kisha wanaweka flavours na rangi . Hivyo vinywaji ni vibaya na hatari sana kwani wengi wanatumia Ethanol ambayo ni Technical grade badala ya ile beverage grade. Vifungashio wanaviapata kwa magendo na hizo stickers. Watu wananyweshwa sana sumuNatamani nifungue cha Kwangu, nasikia ni gharama ndogo tu
Aiseeee ndio maana rate ya vifo ya Vijana inatisha sanaKwani kuna viwanda basi? Wananunua Ethanol 95% wanai dilute kienyeji kisha wanaweka flavours na rangi . Hivyo vinywaji ni vibaya na hatari sana kwani wengi wanatumia Ethanol ambayo ni Technical grade badala ya ile beverage grade. Vifungashio wanaviapata kwa magendo na hizo stickers. Watu wananyweshwa sana sumu
Sema hivi, ukiwa na mwekundu unapata Eagle kumi, saaafi kabisaMbona eagle ni 1500?inamaana itauzwa 1000
Lucas Mwashambwa njoo huku unaitwa.Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃.
Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo n.k
Aliyeshauri wapunguze Huko basi kawashauri Vibaya Sana, Vijana wanateketea kwa pombe. Punguzeni bei ya BANDO ili Vijana wengi zaidi waingie online kufanya KAZI na masomo kwa internet. Kipaumbele cha Vijana ni Elimu mtandao na KAZI mtandao sio POMBE
View attachment 2895940
Kilevi kikubwa kileLucas Mwashambwa njoo huku inaitwa.
HahahaSema hivi, ukiwa na mwekundu unapata Eagle kumi, saaafi kabisa
Hiyo technical grade alcohol unaipata wapi kwa wingi kiasi hicho, nafikiri hiyo ni kwa kazi za maabara na haiuzwi kienyeji.Kwani kuna viwanda basi? Wananunua Ethanol 95% wanai dilute kienyeji kisha wanaweka flavours na rangi . Hivyo vinywaji ni vibaya na hatari sana kwani wengi wanatumia Ethanol ambayo ni Technical grade badala ya ile beverage grade. Vifungashio wanaviapata kwa magendo na hizo stickers. Watu wananyweshwa sana sumu
Zipo, wanazipata kimagendo kwani zinatumika hata kwenye printing,zinauzwa kwenye drums za ltr 200. Hii nchi imelemewa sana na maovu. Hizi K Vant, Konyagi feki zimetapakaa kwenye maduka na mabar huwezi kuzitambua hadi ukiziweka kinywani ndiyo unagundua kuwa siyo og. Kuna maiti nyingi tu zinatembea mitaani zinazotokana na unywaji wa vinywaji hivyo.Hiyo technical grade alcohol unaipata wapi kwa wingi kiasi hicho, nafikiri hiyo ni kwa kazi za maabara na haiuzwi kienyeji.
Haishangazi matatizo ya figo yanaongezeka kila uchwao..Zipo, wanazipata kimagendo kwani zinatumika hata kwenye printing,zinauzwa kwenye drums za ltr 200. Hii nchi imelemewa sana na maovu. Hizi K Vant, Konyagi feki zimetapakaa kwenye maduka na mabar huwezi kuzitambua hadi ukiziweka kinywani ndiyo unagundua kuwa siyo og. Kuna maiti nyingi tu zinatembea mitaani zinazotokana na unywaji wa vinywaji hivyo.
Watu wanywe wasahau shida zaoLingine ni kuendelea kunywa tu Bwashee 😄
Hili ni agano la kale achana nalo agano jipya halijakataza mkuu, we kula biaMithali 31: 6-7
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7Anywe akausahau umaskini wake;
Asiikumbuke tena taabu yake.
Hahahahaha mjinga weweItapunguza matumizi ya mbege
Kwako Benjamin Netanyahu wa Ufipa st 😂
1300Kwaiyo castle lite itauzwa bei gani wakuu
Hakika Ndugu yanguHaishangazi matatizo ya figo yanaongezeka kila uchwao..