Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

Nimefuatilia ziara yake ya leo Ufuatiliaji wa maagizo ya Rais samia suluhu hasan ni jambo jema yeye ndio mtendaji lazima acheki kama watu wanatekeleza maagizo safi sana PM pita kote hakikisha hela za rais wetu zinatumika vizur hakika unamsaidia sana mama
 
Huo ni upuuzi wa hali ya juu maana waziri hapo hakufanya hisani.

Huo ni wajibu wake alafu bila aibu eti unamshukuru?
Mbona hakufanya upuuzi wa kutemnelea huko wakati wa mwendazaki.
Think outside the box.
 
Punguzeni ukazuzu ndugu hiyo ni haki yenu
Sijui kwa nini mnakuwa wajinga wajinga kuelewa.
Sasa niambie kwa nini Magufuli alipaona Mbeya, Bukoba na Moshi vituo vya polisi.
Na haki ilikuwa pale pale.
 
Nimeamini jina alilo wabatiza Jiwe kuwa nyinyi ni wanyonge hakukosea kabisa.

Yaani leo hii umasikini unawafanya muone kutembelewa na waziri ni hisani?

Hamjui kuwa nyinyi ndiyo waajiri wa huyo waziri? Kodi zenu ndiyo zinatumika kumlipa mshahara huyo.
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.
Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
vipi, amewaletea hela kyusa?
 
Weka faida za kutembelewa na huyo kiongozi??
Kama sio kusababisha watu wanaotumia vyombo vya usafiri kucheleweshwa waendako eti kisa yeye anapita.
Masaa kibao magari yamewekwa pembeni eti yeye apite kwanza, nyambaf kabisa si bora asingekuja sasa.
 
Nimeamini jina alilo wabatiza Jiwe kuwa nyinyi ni wanyonge hakukosea kabisa.

Yaani leo hii umasikini unawafanya muone kutembelewa na waziri ni hisani?

Hamjui kuwa nyinyi ndiyo waajiri wa huyo waziri? Kodi zenu ndiyo zinatumika kumlipa mshahara huyo.
Ee bwana sikujua una low thinking capacity.
 
Huo ni upuuzi wa hali ya juu maana waziri hapo hakufanya hisani.

Huo ni wajibu wake alafu bila aibu eti unamshukuru?
Nyie msio na haya, upuuzi wa Chato ndo hamkuuona, au?
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.

Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.

Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
Sijui linyak la wapi wewe?. Kuna maana gani katika hilo?
 
Back
Top Bottom