Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

Mkuu vipi ile barabara inayoelekea lutengano kutokea pale Kyimbila(kama nakumbuka jina vizuri) imepigwa lami? maana nimetoka huko mara ya mwisho 1992.
 
Mkuu vipi ile barabara inayoelekea lutengano kutokea pale Kyimbila(kama nakumbuka jina vizuri) imepigwa lami? maana nimetoka huko mara ya mwisho 1992.
Haya ndiyo mambo anatakiwa Waziri Mkuu aje aone.
Njia hii toka ukoloni hadi leo hakuna lami.
 
Hakuna popote alipotembelea Majaliwa alipowahi kutatua kero , alipokuja kyela kuzindua meli akazitia gundu hadi leo
Njombe alitatua ile kero ya raisi magufuli kuumwa, akasema raisi ni mzima anahapa kazi ikulu

Waziri mkuu wa kwanza kwa mauongo uongo
 
Aisee kwani si niwajibu wake, au alikuja KWa nauli yake kutoa mfukoni,? Kama sivyo asante za nini ,Hamnaga ya kuandika?
 
haikusaidii kitu
 
Aisee kwani si niwajibu wake, au alikuja KWa nauli yake kutoa mfukoni,? Kama sivyo asante za nini ,Hamnaga ya kuandika?
Mwendazake alikuja Mbeya mara ngapi?
Na hamkuuona unyanyapaa kwa mkoa huuwakati wa Awamu ya Tano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…