Hizo nafasi nne ziko pale tangu simba ipofuzu robo fainali hizo za yanga labda zipelekwe zanzibarBaada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.
Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Hawa jamaa ni wajinga sana haya yote yameletwa na A. Mahious,I. Merili..Hizo nafasi nne ziko pale tangu simba ipofuzu robo fainali hizo za yanga labda zipelekwe zanzibar
Ama kweli yanga ni dude kubwaaaBaada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.
Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Na awamu hii inabidi iwe mvua ya mawe, na mawe yenyewe yawapate wachezaji wa Utopolo pekee (yaani Kinyambe na wenzake). Hili linawezekana, 'kamati' ijitahidi kufuata maelezo haya.RATIBA YA MVUA.
Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).
Tunaomba radhi kwa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]