Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Mlishaambiwa wenye akili ni wawili tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu....bila Yanga Simba ingecheza shirikishoSimba mazingira ya yeye kubaki champions league mwakani kajitengenezea yeye mwenyewe baada ya kufuzu Robo final.
Sasa hiyo ya Yanga kufika final losers labda uwahusishee Azam na Singida Big stars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolooo waarabu wamewavuruga vibayaaa.
Wakosahihi mkuu .....coz Yanga ndo timu ya kwanza kufika fainali..Utopolo bhana!! Huku kwetu kuna wengine wanasema mpaka sasa wako juu ya Simba kwa sababu wameingia final na wakichukua kombe wanakuwa nafasi ya pili Africa baada ya bingwa wa CL! Hao ndio Wana yanga tuwazoee
Ndondo cup,sio?!Wakosahihi mkuu .....coz Yanga ndo timu ya kwanza kufika fainali..
Ukiachana na ndondo cup iliyoanzishwa na tajiri mnaijeria billionaire abiola cup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo bhana!! Huku kwetu kuna wengine wanasema mpaka sasa wako juu ya Simba kwa sababu wameingia final na wakichukua kombe wanakuwa nafasi ya pili Africa baada ya bingwa wa CL! Hao ndio Wana yanga tuwazoee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaa weyeeeeKabisa mkuu....bila Yanga Simba ingecheza shirikisho