Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

Simba mazingira ya yeye kubaki champions league mwakani kajitengenezea yeye mwenyewe baada ya kufuzu Robo final.

Sasa hiyo ya Yanga kufika final losers labda uwahusishee Azam na Singida Big stars.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolooo waarabu wamewavuruga vibayaaa.
Kabisa mkuu....bila Yanga Simba ingecheza shirikisho
 
Utopolo bhana!! Huku kwetu kuna wengine wanasema mpaka sasa wako juu ya Simba kwa sababu wameingia final na wakichukua kombe wanakuwa nafasi ya pili Africa baada ya bingwa wa CL! Hao ndio Wana yanga tuwazoee
Wakosahihi mkuu .....coz Yanga ndo timu ya kwanza kufika fainali..

Ukiachana na ndondo cup iliyoanzishwa na tajiri mnaijeria billionaire abiola cup
 
Yanga wamemuacha mwenzao anashambuliwa peke yake na hoja wameitoa wote kwenye vijiwe nuksi huko. Mods naomba dislike button, siipati kwenye app [emoji13]
 
Utopolo bhana!! Huku kwetu kuna wengine wanasema mpaka sasa wako juu ya Simba kwa sababu wameingia final na wakichukua kombe wanakuwa nafasi ya pili Africa baada ya bingwa wa CL! Hao ndio Wana yanga tuwazoee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga wamemuacha mwenzao anashambuliwa peke yake na hoja wameitoa wote kwenye vijiwe nuksi huko. Mods naomba dislike button, siipati kwenye app [emoji13]
Yanga wametuheshimisha mkuu [emoji23]
 
Back
Top Bottom