PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ingawa kuna tofauti kati ya ushabiki na kujitoa akili, lakini huku ni kukosa akili.Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)
katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.
Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432