Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)

katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.

Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Ingawa kuna tofauti kati ya ushabiki na kujitoa akili, lakini huku ni kukosa akili.
 
Nimepata taarifa kuwa mvua itanyesha tena algeria, kipigo kiko pale pale😀😀
 
Kuingia fainali loosers cup Kuna uhusiano gani na Simba kuingia robo fainali champions league. Simba inajisimamia yenyewe haihitaji support ya loosers Kama Yanga.
Robo fainali si kitu ..... issue ni kufika fainali
 
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)

1685509228926.png
 
Safi sana mtoa mada 😂😂😂😂😂
Huu ni mwaka wa kuwatoa mapovu tu makolo hadi gesi yote iishe.
Huku sio kuwatoa mapovu, bali kujifariji baada ya jambo la Waarabu 😁😁😁
 
ya mashindano gani? [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani tusione aibu, tuwe tunataja hatua na mashindano yake! [emoji16][emoji16][emoji16]
Confederation cup kulikuwa kugumu sana .... kumbuka timu jamii ya vipers, horoya, big bullets hazikuwepo....

Huku unakutana na magiant kina mazembe, manastir ( waarabu). Pyramid, rabbat nk
 
Confederation cup kulikuwa kugumu sana .... kumbuka timu jamii ya vipers, horoya, big bullets hazikuwepo....

Huku unakutana na magiant kina mazembe, manastir ( waarabu). Pyramid, rabbat nk
Na hao Vipers waliwaondoa Mazembe CL, Mazembe wakaenda kukutana na Yanga walioondolewa CL 😁😁😁
 
Na hao Vipers waliwaondoa Mazembe CL, Mazembe wakaenda kukutana na Yanga walioondolewa CL [emoji16][emoji16][emoji16]
Lkn sio kigezo Cha vipers kuwa wabovu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom