whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
- Thread starter
- #21
Hongera huyo mzee ni wa pekee kabisa hapa mjini
Yah kweli ni wa kipekee haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera huyo mzee ni wa pekee kabisa hapa mjini
Tena kitu kidogo kisichojaa.....!
!
Sasa ikifika wakati na wa yeye kuwa na roho nzuri na ya utu asiufanye moyo wake kuwa mgumu after all kitakachohitajika toka kwake ni kitu kidigo tu.
dah kusikia kodi moyo umefanya paah itabd nimpelekee uzi huu landlord wangu nae auone japo na yeye anifikirie fikirie
bas na mim nifae hata ka fifty tu kwenye kale ka laki ka landlord si unajua ule mwimbo wa toa ndugu toa....🙂🙂🙂🙂Do that Boniface usawa mgumu huu amenifaa huyu baba wee acha tu [emoji12][emoji12][emoji12]
bas na mim nifae hata ka fifty tu kwenye kale ka laki ka landlord si unajua ule mwimbo wa toa ndugu toa....🙂🙂🙂🙂[/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaenda kuziba mipasuko, nyufa na mitaro iliyosababisha maana hali ilikuwa mbaya Sana ndugu yangu we usiseme Hadi hapa saa hizi naona Kama naota vile
Tena kitu kidogo kisichojaa.....
Tena akiwa mwepesiiiiii.... ahsante punguzo la kodi.!
!
After all akimaliza si ataosha tu na sabuni labda na kuifuta na taulo aaah saaafi kabisa.
How? Kwani neno "asante baba c linatosha"?Ukumbuke kumshukuru
Sio mwaka huu tu na mwakan pia atapunguziwa laki lakiWenye nyumba wengine bhana....
Kwa hesabu za harakaharaka binti kashahongwa 1.2m.
Khaaaa!!
Wakubwa wanafaidi aseeSio mwaka huu tu na mwakan pia atapunguziwa laki laki
Mr Landlord is tryna offer a dick..in Chris Rock's Voice.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mna Maneno Jamani
Kanunue toffali zako sasa kwa punguzo hiloJamani Leo nimefurahi Sana wana JF maana baba mwenye nyumba (landlord) amenishushia kodi ya pango . Ukweli huyu mtu niliyepanga nyumba kwake niseme ni muungwana Sana zaidi ya nilivyodhani. Nilishagundua Ni muungwana na ana utu ila sikutegemea Kama angefikiria hadi kwenye hili .
Nimempigia simu Leo asubuhi anipe maelekezo ya account namba Kama zime badilika au zile zile kabla sijaweka mzigo wake wa mahela tarehe yangu ya kulipa Ni tar 12 ila nimeona bora Leo nifanye muamala kisha nianze kujibana mkanda maana utete wa hii hali ngumu. Sikuamini maskio yangu akaniambia "
mwanangu najua hali sio Hali " nikajidai ndio baba baba yangu nimeona niweke mapema maana kuna eid inakuja unaweza kuwa Unataka kuchinja " ka mbuzi" [emoji13][emoji13][emoji13]
Akasema unaweka ya mwaka mzima nikamwambia mwaka akauliza inakuwa sh ngapi nikamtajia . Akasema sasa ondoa kila mwezi laki laki Halafu nipe hesabu nikapiga hesabu ya kichwa nikampa jibu akasema sasa mama Kwa mwaka huu na mwakani ondoa laki nakupunguzia mama najua hali ngumu nawewe Safari Safari zile siku hizi huna huko mbeleni tukiwa hai mambo yakiwa safi tutarudi kwenye kawaida so Kwa mwaka huu na mwakani punguzo hilo hapo sawa mwanangu " yaani sikuamini misikio yangu loooh akasema ukienda ofisini kwako uprinti mikataba kabisaa uniletee tusign
Mungu akizidishie mali zaidi baba wewe maana unazo za kutosha na kutoa Kwa kufikiria uchumi mgumu Kwa wapangaji wako. Asanteeeee baba mwenye nyumba
Mtunzi wa hadithi wa chandomo.Jamani Leo nimefurahi Sana wana JF maana baba mwenye nyumba (landlord) amenishushia kodi ya pango . Ukweli huyu mtu niliyepanga nyumba kwake niseme ni muungwana Sana zaidi ya nilivyodhani. Nilishagundua Ni muungwana na ana utu ila sikutegemea Kama angefikiria hadi kwenye hili .
Nimempigia simu Leo asubuhi anipe maelekezo ya account namba Kama zime badilika au zile zile kabla sijaweka mzigo wake wa mahela tarehe yangu ya kulipa Ni tar 12 ila nimeona bora Leo nifanye muamala kisha nianze kujibana mkanda maana utete wa hii hali ngumu. Sikuamini maskio yangu akaniambia "
mwanangu najua hali sio Hali " nikajidai ndio baba baba yangu nimeona niweke mapema maana kuna eid inakuja unaweza kuwa Unataka kuchinja " ka mbuzi" [emoji13][emoji13][emoji13]
Akasema unaweka ya mwaka mzima nikamwambia mwaka akauliza inakuwa sh ngapi nikamtajia . Akasema sasa ondoa kila mwezi laki laki Halafu nipe hesabu nikapiga hesabu ya kichwa nikampa jibu akasema sasa mama Kwa mwaka huu na mwakani ondoa laki nakupunguzia mama najua hali ngumu nawewe Safari Safari zile siku hizi huna huko mbeleni tukiwa hai mambo yakiwa safi tutarudi kwenye kawaida so Kwa mwaka huu na mwakani punguzo hilo hapo sawa mwanangu " yaani sikuamini misikio yangu loooh akasema ukienda ofisini kwako uprinti mikataba kabisaa uniletee tusign
Mungu akizidishie mali zaidi baba wewe maana unazo za kutosha na kutoa Kwa kufikiria uchumi mgumu Kwa wapangaji wako. Asanteeeee baba mwenye nyumba
hongera sana
mimi boss kanihamishia nyumbani kwake
magufuli akibana huku Mungu anaachia huku