Asanteeee Baba Mwenye nyumba wangu (landlord)

Good idea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baba mwenye nyumba kaanza mipango ya kuongeza mke
soon utasikia mwanangu nataka usilipe kodi kabisa
hapo pawe kwako kabisa uwe wangu...uniite babe....
na huko ofisini ukute umesimamishwa kupita uchunguzi...
kilaaini kabisa....mzee anakubeba
 
Jamani Leo nimefurahi Sana wana JF maana baba mwenye nyumba (landlord) amenishushia kodi ya pango . Ukweli huyu mtu niliyepanga nyumba kwake niseme ni muungwana Sana zaidi ya nilivyodhani. Nilishagundua Ni muungwana na ana utu ila sikutegemea Kama angefikiria hadi kwenye hili .

Nimempigia simu Leo asubuhi anipe maelekezo ya account namba Kama zime badilika au zile zile kabla sijaweka mzigo wake wa mahela tarehe yangu ya kulipa Ni tar 12 ila nimeona bora Leo nifanye muamala kisha nianze kujibana mkanda maana utete wa hii hali ngumu. Sikuamini maskio yangu akaniambia "
mwanangu najua hali sio Hali " nikajidai ndio baba baba yangu nimeona niweke mapema maana kuna eid inakuja unaweza kuwa Unataka kuchinja " ka mbuzi" [emoji13][emoji13][emoji13]

Akasema unaweka ya mwaka mzima nikamwambia mwaka akauliza inakuwa sh ngapi nikamtajia . Akasema sasa ondoa kila mwezi laki laki Halafu nipe hesabu nikapiga hesabu ya kichwa nikampa jibu akasema sasa mama Kwa mwaka huu na mwakani ondoa laki nakupunguzia mama najua hali ngumu nawewe Safari Safari zile siku hizi huna huko mbeleni tukiwa hai mambo yakiwa safi tutarudi kwenye kawaida so Kwa mwaka huu na mwakani punguzo hilo hapo sawa mwanangu " yaani sikuamini misikio yangu loooh akasema ukienda ofisini kwako uprinti mikataba kabisaa uniletee tusign

Mungu akizidishie mali zaidi baba wewe maana unazo za kutosha na kutoa Kwa kufikiria uchumi mgumu Kwa wapangaji wako. Asanteeeee baba mwenye nyumba

Na baba mwenye nyumba nafurahia kuku kadonoa hindi la kwanza....🙄
 
Wewe ni me au ke?
 
Dah....nimeipenda hii ya kidingidingi... taratibu anaelekezwa kibla mtu [emoji4]
 
Back
Top Bottom