Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

Nimejikuta nakua muoga tu kuhusiana na matokeo ya mechi na Berkane hasa ukizingatia performance ya kwenye ligi na makosa ambayo hufanywa na walinzi wa kati wa SSC
 
Nani kakudanganya? Kolo alitakiwa ashinde Niger kwa wale vibonde sare imemuharibia kwa kuwa wale watapigwa na kila timu
 
Dah! Kesho kulala saa sitaa! Maana hakuna namna. Lazima niutazame huu mchezo mwanzo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…