Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

Sioni tatizo maana hao washindani wake watakuwa wanauana ugenini wakati Simba akiwa na mechi mbili mfululizo nyumbani. Ambazo akishinda zote safari imeendelea

Sasa ukisema ni mpaka aIshinde nami nitakuuliza kwanini wewe utabiri simba atafungwa kesho?

Mpira sio ramli....
Nimejikuta nakua muoga tu kuhusiana na matokeo ya mechi na Berkane hasa ukizingatia performance ya kwenye ligi na makosa ambayo hufanywa na walinzi wa kati wa SSC
 
Sioni tatizo maana hao washindani wake watakuwa wanauana ugenini wakati Simba akiwa na mechi mbili mfululizo nyumbani. Ambazo akishinda zote safari imeendelea

Sasa ukisema ni mpaka aIshinde nami nitakuuliza kwanini wewe utabiri simba atafungwa kesho?

Mpira sio ramli....
Nani kakudanganya? Kolo alitakiwa ashinde Niger kwa wale vibonde sare imemuharibia kwa kuwa wale watapigwa na kila timu
 
Dah! Kesho kulala saa sitaa! Maana hakuna namna. Lazima niutazame huu mchezo mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom