Hao wanaopumua ni kupiga kichwani tuKelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
Kuna limoja lipo hapo juu, sijui stake nyokonyokoHao wanaopumua ni kupiga kichwani tu
Hela za nn sasatafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Sijakupata nipe mwanga zaidiKelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
DoneKelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
Wakati tunatafuta hela nyie mlikuwa mnasubiri buku 7 za Lumumba.tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Acha uchawa bwana chawa😂tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Nimeshaliona linasema nitafute hela anadhani anavyojaziwa bando wote tupo hivyo.Kuna limoja lipo hapo juu, sijui stake nyokonyoko
Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
😁 chawa wa lumumba wana tabu sana mkuu hapo posho ya buku 7 anaona katoboa maishaWakati tunatafuta hela nyie mlikuwa mnasubiri buku 7 za Lumumba.
Nakula pesa yangu sitegemei uchawa kama wewe, halafu ni hela sio ela illiterate.
Stakehigh mwenyewe ka chill hivi sasa bado kiredio Luca tu!tafuta ela kwa nguvu sana unakaribia kuchizika
Bado unapumua, kila siku nyie ni kukanusha tu, jumatatu bbc wanakuja na kitu kizito jiandae kukanusha.Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Eti kimya!
Sasa kama ni kimya mnalia lia nini kwa kula misumari?
Wenzako tu ndo wamekuelewa. Kimya manake washamaliza kazi waliyopewa sasa wanakula tu wakati nyie ndo mwazidisha kelele mara sijui ICC mara hatutaki maridhiano mara hatutaki tume wenzenu huko wako kimya.Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa mama kimya hata mwenyewe kimya.
Wakianza tena tutawajulisha kuna wengine naona bado wanapumua, na wengine wanachungulia kwa kuiba iba.
Huyo ni punguwaniHela za nn sasa
Mimi ni mzoefu humu nawapiga na buku 7 yao nasikia wameongezewa imekuwa 10.😁 chawa wa lumumba wana tabu sana mkuu hapo posho ya buku 7 anaona katoboa maisha