Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.

Imenigharimu karibia 22Mil
 
ho gera sana mkuu.....mwanzo mzur
 
Hongera sana.

Mkuu hiyo 22 M ni pamoja na kodi?
 
Hongera sana mkuu mkuu. Kwa mahitaji ya spare parts hasa body parts nicheck mkuu.
 
hongera
 
Huyu kaingizwa town na watu huko.
Maana, hiyo 22mil ni bei yakwenda kununulia yard ( showrrom ) bila shaka!
Lakini, sio mbaya, kila kitu ni kujifunza

Muhimu ;

Azingatie care ya gari, Dualis hazitaki gadhabu , maana sio corolla ile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…