Eco
Member
- Oct 10, 2018
- 73
- 85
Yaan!Jf bana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan!Jf bana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuuMkuu acha kukaza kichwa, bei za dualis sasa hivi zimepanda na kodi pia imekuwa juu.. of coz sasa hivi zipo kwenye 20's.
Kiufupi gari zote zimepanda bei jaribu kufanya utafiti uone
Si pesa yake.Mbona kama umeumia sana jamaa kulipa 22m
[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona kama umeumia sana jamaa kulipa 22m
Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.
Imenigharimu karibia 22MilView attachment 2196395
Hizi tabia uwa sizielewi.Hongera mkuu, karibu sana Road, kila uingiapo hakikisha una Mchuzi wa kuwapooza Askari, maana wa njaa balaaa
Mbona bei kubwa sana. Au umeagiziwa na hawa madalali wa yard za mlimani city pale opposite?!Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.
Imenigharimu karibia 22MilView attachment 2196395
Naomba nitie neno hapa kidogo, naona elimu ya kuagiza magari yaliyotumika nje ya nchi bado ni ndogo sana kwa baadhi ya watanzania, na wengi wenu mmemshabulia kuhusu kupigwa kwa hiyo pesa ambayo ameitoa bila hata kujiuliza hiyo gari ni ya mwaka gani, ilikua na Hali gani wakati inaagizwa(condition grade) nk na kibaya zaidi nimeshangaa Kuna member hapa ni muagizaji wa magari( car dealership) nae anasema jamaa kapigwa nimeshangaa sanaMbona bei kubwa sana. Au umeagiziwa na hawa madalali wa yard za mlimani city pale opposite?!
Hiyo gari kwa kuagiza mwenyewe haitakiwi kuzidi 17. Unless umechukua zile za price kubwa
hongera sana mkuu na mm nipo kwenye mchakatoWadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.
Imenigharimu karibia 22MilView attachment 2196395
Production Vs demand Kwa gari za miaka zaidi 10 iliyopita? Kuwa serious basiNi kweli ulisemalo ila kwasasa magari ya kuagiza yamepanda bei kutokana na production kuwa mdogo kuliko demand.
Hizi tabia uwa sizielewi.
Una gari limekamilika kila kitu, na wewe mwenyewe unayo leseni iliyo hai na unaendesha gari kwa kufuata taratubu zote wala uwezi pata usumbufu kwa Trafiki.
mkuu premio naweza pata kwa bei gani ?Naomba nitie neno hapa kidogo, naona elimu ya kuagiza magari yaliyotumika nje ya nchi bado ni ndogo sana kwa baadhi ya watanzania, na wengi wenu mmemshabulia kuhusu kupigwa kwa hiyo pesa ambayo ameitoa bila hata kujiuliza hiyo gari ni ya mwaka gani, ilikua na Hali gani wakati inaagizwa(condition grade) nk na kibaya zaidi nimeshangaa Kuna member hapa ni muagizaji wa magari( car dealership) nae anasema jamaa kapigwa nimeshangaa sana
Gari used zinatofautiana Bei kutokana na vitu kadhaa japokua zote zinaweza kua mwaka mmoja Ila zinatofautiana Bei kulingana vifuatavyo
Mwaka wa gari kusajiliwa, kwa kufuata mfumo wetu wa Kodi hapa nchini kadri ya gari inavyokua na miaka mingi tokea kutengenezwa ndipo Kodi yake ya uchakavu inavyoongezeka hivyo usitegemee gari ya 2006 ikalingana Kodi na 2009
Condition Grade, Gari za kijapan zinauzwa kulingana na grade condition zake baada ya wakaguzi kukagua na kuona inaangukia grade ipi hivyo gari ambayo iko grade 3.0 haitakua sawasawa kibei na gari yenye condition ya 4.0 hata Kama zimetengenezwa mwaka mmoja, zina mileage sawa na rangi sawa hivyo mnapokua mnajadili Bei angalieni na factor hizo 2 kwanza japokua Kuna mambo mengi sana ya kuangalia, na baadhi yetu tumekalili km kua kubwa ndio zinasababisha Bei kupungua Hilo Mimi nalipinga ndio maana unaweza kukuta gari mfano Nissan duals ya 2006 imetembea km 170,000 ikauzwa Bei ghari kuliko dualis ya 2007 yenye km 120,000. karibu sana Jo Motors Mikocheni kwa elimu ya kuagiza magari, autoparts & lubricants
+255719263074
Kwanza kutokana na tamko la waziri mkuu alilolitoa juzi Kati ya kwamba magari yanayopaswa kuingizwa hapa nchini yawe ni kuanzia 2010, sisi Kama kampuni tumeona ili tusijikute kwenye shida tumeamua kubadilisha utaratibu wa kuwaagizia wateja ambapo hivi sasa tunaagiza gari zenye umri wa miaka 10 tu tokea tarehe ya mwisho ya utengenezaji hivyo gari tunayoaagiza kwa hivi sasa ni Ile iliyotengenezwa kuanzia 2013 kuja juu na kwa premio hiyo unayoitaka andaa Tsh32.1 Millionsmkuu premio naweza pata kwa bei gani ?
Amesema katumiz mil 22.Hongera sana.
Mkuu hiyo 22 M ni pamoja na kodi?
Punguza wivu.Mbona umepigwa hela ndefu hivyo? Niliagiza yangu kwa jumla 17m miaka mitatu iliyopita. Pengine yako Ina km chini ya elfu 20.
Lipo tena KUBWA SANAAA.Kuna tatizo mkuu?
Punguzeni UKIKE.Hongera nyingi sana.
Lakini, hii kama imekuaghari kidogo
Mara nyingi ni 19.8mil pamoja na kodi etc.
But all in all, hongera.
Yako 17mHuyu kaingizwa town na watu huko.
Just pongeza basiiii.Mbona bei kubwa sana. Au umeagiziwa na hawa madalali wa yard za mlimani city pale opposite?!
Hiyo gari kwa kuagiza mwenyewe haitakiwi kuzidi 17. Unless umechukua zile za price kubwa
Umeona eenhh?!!Jf bana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]