Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.

Imenigharimu karibia 22MilView attachment 2196395

Hongera mkuu, karibu sana Road, kila uingiapo hakikisha una Mchuzi wa kuwapooza Askari, maana wa njaa balaaa
 
Hizi tabia uwa sizielewi.

Una gari limekamilika kila kitu, na wewe mwenyewe unayo leseni iliyo hai na unaendesha gari kwa kufuata taratibu zote wala uwezi pata usumbufu kwa Trafiki.
 
Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.

Imenigharimu karibia 22MilView attachment 2196395
Mbona bei kubwa sana. Au umeagiziwa na hawa madalali wa yard za mlimani city pale opposite?!

Hiyo gari kwa kuagiza mwenyewe haitakiwi kuzidi 17. Unless umechukua zile za price kubwa
 
Naomba nitie neno hapa kidogo, naona elimu ya kuagiza magari yaliyotumika nje ya nchi bado ni ndogo sana kwa baadhi ya watanzania, na wengi wenu mmemshabulia kuhusu kupigwa kwa hiyo pesa ambayo ameitoa bila hata kujiuliza hiyo gari ni ya mwaka gani, ilikua na Hali gani wakati inaagizwa(condition grade) nk na kibaya zaidi nimeshangaa Kuna member hapa ni muagizaji wa magari( car dealership) nae anasema jamaa kapigwa nimeshangaa sana

Gari used zinatofautiana Bei kutokana na vitu kadhaa japokua zote zinaweza kua mwaka mmoja Ila zinatofautiana Bei kulingana vifuatavyo

Mwaka wa gari kusajiliwa, kwa kufuata mfumo wetu wa Kodi hapa nchini kadri ya gari inavyokua na miaka mingi tokea kutengenezwa ndipo Kodi yake ya uchakavu inavyoongezeka hivyo usitegemee gari ya 2006 ikalingana Kodi na 2009

Condition Grade, Gari za kijapan zinauzwa kulingana na grade condition zake baada ya wakaguzi kukagua na kuona inaangukia grade ipi hivyo gari ambayo iko grade 3.0 haitakua sawasawa kibei na gari yenye condition ya 4.0 hata Kama zimetengenezwa mwaka mmoja, zina mileage sawa na rangi sawa hivyo mnapokua mnajadili Bei angalieni na factor hizo 2 kwanza japokua Kuna mambo mengi sana ya kuangalia, na baadhi yetu tumekalili km kua kubwa ndio zinasababisha Bei kupungua Hilo Mimi nalipinga ndio maana unaweza kukuta gari mfano Nissan duals ya 2006 imetembea km 170,000 ikauzwa Bei ghari kuliko dualis ya 2007 yenye km 120,000. karibu sana Jo Motors Mikocheni kwa elimu ya kuagiza magari, autoparts & lubricants
+255719263074
 
hongera sana mkuu na mm nipo kwenye mchakato
 
Hizi tabia uwa sizielewi.

Una gari limekamilika kila kitu, na wewe mwenyewe unayo leseni iliyo hai na unaendesha gari kwa kufuata taratubu zote wala uwezi pata usumbufu kwa Trafiki.

Hahaha mkuu utaleta mrejesho baada ya mwezi mmoja.
 
Naomba nitie neno hapa kidogo, naona elimu ya kuagiza magari yaliyotumika nje ya nchi bado ni ndogo sana kwa baadhi ya watanzania, na wengi wenu mmemshabulia kuhusu kupigwa kwa hiyo pesa ambayo ameitoa bila hata kujiuliza hiyo gari ni ya mwaka gani, ilikua na Hali gani wakati inaagizwa(condition grade) nk na kibaya zaidi nimeshangaa Kuna member hapa ni muagizaji wa magari( car dealership) nae anasema jamaa kapigwa nimeshangaa sana

Gari used zinatofautiana Bei kutokana na vitu kadhaa japokua zote zinaweza kua mwaka mmoja Ila zinatofautiana Bei kulingana vifuatavyo

Mwaka wa gari kusajiliwa, kwa kufuata mfumo wetu wa Kodi hapa nchini kadri ya gari inavyokua na miaka mingi tokea kutengenezwa ndipo Kodi yake ya uchakavu inavyoongezeka hivyo usitegemee gari ya 2006 ikalingana Kodi na 2009

Condition Grade, Gari za kijapan zinauzwa kulingana na grade condition zake baada ya wakaguzi kukagua na kuona inaangukia grade ipi hivyo gari ambayo iko grade 3.0 haitakua sawasawa kibei na gari yenye condition ya 4.0 hata Kama zimetengenezwa mwaka mmoja, zina mileage sawa na rangi sawa hivyo mnapokua mnajadili Bei angalieni na factor hizo 2 kwanza japokua Kuna mambo mengi sana ya kuangalia, na baadhi yetu tumekalili km kua kubwa ndio zinasababisha Bei kupungua Hilo Mimi nalipinga ndio maana unaweza kukuta gari mfano Nissan duals ya 2006 imetembea km 170,000 ikauzwa Bei ghari kuliko dualis ya 2007 yenye km 120,000. karibu sana Jo Motors Mikocheni kwa elimu ya kuagiza magari, autoparts & lubricants
+255719263074
mkuu premio naweza pata kwa bei gani ?
 
mkuu premio naweza pata kwa bei gani ?
Kwanza kutokana na tamko la waziri mkuu alilolitoa juzi Kati ya kwamba magari yanayopaswa kuingizwa hapa nchini yawe ni kuanzia 2010, sisi Kama kampuni tumeona ili tusijikute kwenye shida tumeamua kubadilisha utaratibu wa kuwaagizia wateja ambapo hivi sasa tunaagiza gari zenye umri wa miaka 10 tu tokea tarehe ya mwisho ya utengenezaji hivyo gari tunayoaagiza kwa hivi sasa ni Ile iliyotengenezwa kuanzia 2013 kuja juu na kwa premio hiyo unayoitaka andaa Tsh32.1 Millions
 
Mbona umepigwa hela ndefu hivyo? Niliagiza yangu kwa jumla 17m miaka mitatu iliyopita. Pengine yako Ina km chini ya elfu 20.
Punguza wivu.
Kwenye finance Kuna kitu kinaitwa "TIME VALUE FOR MONEY"

#YNWA
 
Hongera nyingi sana.

Lakini, hii kama imekuaghari kidogo
Mara nyingi ni 19.8mil pamoja na kodi etc.

But all in all, hongera.
Punguzeni UKIKE.

Hiyo sentensi ya mwisho ilitosha kabisa.

Hiyo paragraph ya juu ACHANA NAYO.

#YNWA
 
Mbona bei kubwa sana. Au umeagiziwa na hawa madalali wa yard za mlimani city pale opposite?!

Hiyo gari kwa kuagiza mwenyewe haitakiwi kuzidi 17. Unless umechukua zile za price kubwa
Just pongeza basiiii.

Tupunguze ukuaji.

Ulikuwa wapi wakati anaomba ushauri?

HUKU USWAHILI MTU MJUAJI TUNASEMA ANA TABIA ZA KIKE.

#YNWA
 
Back
Top Bottom