Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Kuanzia Feb 1 gharama zilipanda town ace pickup ilishoot toka 19/20 mpaka 23 bila kupepesa na from May hali itakuwa mbaya zaidi
Ni kweli mzee,

Lakini unafuu unakuja kutokana na ambapo utanunulia, ikiwa na maana kwamba kupata kwa cif ndogo!
Maana hapo ndipo shina la kila kitu.
 
Asingeweza kuelewa. Unajua mtu uelewa wake ukiwa ni below standard its hard to understand what i wrote.
Nina uelewa na kunguru au dagaa.
Nina akili ndogo sanaa

NISAMEHE Mimi nimekosa Mimi Tena nimekosa Sana..!!
😎😎😎😎

Akili zangu hazijai kisoda.

#YNWA
 
Mbona umepigwa hela ndefu hivyo? Niliagiza yangu kwa jumla 17m miaka mitatu iliyopita. Pengine yako Ina km chini ya elfu 20.
Kama uliagiza miaka mitatu nyuma. Upo sahihi na yeye yupo sahihi pia .
Kodi zimepanda sana mwaka jana na mwaka huu , shipping pia ipo juu sana , wharfage na port chargers zipo juu pia
Kiufupi kama mwaka juzi uliagiza gari ikafika lets say mill 11 , mwaka huu gari hiyo hiyo same specs inaweza fika 15mil.
 
Ni kweli ulisemalo ila kwasasa magari ya kuagiza yamepanda bei kutokana na production kuwa mdogo kuliko demand.
Sababu kuu ni shipping, magari mengi tunayoagiza bongo hayapo kwenye prodution , na mengi yanakuwa hayapo kwenye standard za kutembea huko japan, ndo sisi tunanunua na kutembelea , hizi Ist tunavimba nazo hapa mjini nyingi ni za miaka ya 2005 hadi 2008
 
Hiyo ni nzuri. Ila kama imefika kwa gharama,au ndio kusema kodi imepanda kihivyo?. Nimeagiza moja mwezi wa 5 mwaka jana kama hiyo. Imefika kwa 17
 
Kama uliagiza miaka mitatu nyuma. Upo sahihi na yeye yupo sahihi pia .
Kodi zimepanda sana mwaka jana na mwaka huu , shipping pia ipo juu sana , wharfage na port chargers zipo juu pia
Kiufupi kama mwaka juzi uliagiza gari ikafika lets say mill 11 , mwaka huu gari hiyo hiyo same specs inaweza fika 15mil.
Sawa mkuu
 
Hiyo ni nzuri. Ila kama imefika kwa gharama,au ndio kusema kodi imepanda kihivyo?. Nimeagiza moja mwezi wa 5 mwaka jana kama hiyo. Imefika kwa 17
Wadau gharama za gari zimepanda sana kuanzia, kodi, Shipping na CIF yenyewe.
Lkn pia zilikuwepo mpaka za 17.8M nyingine hadi 35M ni uamuzi tu wa kile unachokihitaji wewe
 
Back
Top Bottom