Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote.
Imenigharimu karibia 22Mil
Imenigharimu karibia 22Mil