This is a very logical qns.Production Vs demand Kwa gari za miaka zaidi 10 iliyopita? Kuwa serious basi
Kuna dada namfahamu aliagiza Dualis Japan 5 years ago. Ilimcost 14m tu.
Hata wewe ulipigwa kwa wakati wako.
Ni kweli mzee,Kuanzia Feb 1 gharama zilipanda town ace pickup ilishoot toka 19/20 mpaka 23 bila kupepesa na from May hali itakuwa mbaya zaidi
Unaongelea production ya kitu gani?Unajua Hilo Gari limezalishwa mwaka gani?Ni kweli ulisemalo ila kwasasa magari ya kuagiza yamepanda bei kutokana na production kuwa mdogo kuliko demand.
Hebu rudia comment zako zotee kuhusu mwana kununua gari.Wivu ni upi hapa?
Kiswahili tafadhalii.I'd be astonished if you would have understood the satirical tone in the text. Though i tried to make it easy down there. Still you failed to understand. Poor you.
Ngoja nikila mayai kwa maharage nitakujuza nikianza kujamba.Mbea wewe unayedandia maswali ya watu wengine.
Ushuzi ujambe wewe, lawama unipe mimi?
Ngoja nikila mayai kwa maharage nitakujuza nikianza kujamba.Mbea wewe unayedandia maswali ya watu wengine.
Ushuzi ujambe wewe, lawama unipe mimi?
Nina uelewa na kunguru au dagaa.Asingeweza kuelewa. Unajua mtu uelewa wake ukiwa ni below standard its hard to understand what i wrote.
Nimeeleza experience yangu. Nilitegemea bei isiwe na tofauti ya 5m. Kwangu naiona ni kubwa sana. Hata hivyo mimi sina tatizo. Nampongeza kwa kuvuta chuma.Hebu rudia comment zako zotee kuhusu mwana kununua gari.
#YNWA
Tafuta wanaume wa kukupekecha, mimi usinitangazie situmii mikundu.Ngoja nikila mayai kwa maharage nitakujuza nikianza kujamba.
#YNWA
Poa ngoja nitafute mbo** nzuri ya kunipekecha.Tafuta wanaume wa kukupekecha, mimi usinitangazie situmii mikundu.
Nenda kule kwenye uzi wa changamoto za kuomba ajira tamisemi utawakuta mabilionea wa jf wanahangaika na MFUMO [emoji16]Jf bana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama uliagiza miaka mitatu nyuma. Upo sahihi na yeye yupo sahihi pia .Mbona umepigwa hela ndefu hivyo? Niliagiza yangu kwa jumla 17m miaka mitatu iliyopita. Pengine yako Ina km chini ya elfu 20.
Sababu kuu ni shipping, magari mengi tunayoagiza bongo hayapo kwenye prodution , na mengi yanakuwa hayapo kwenye standard za kutembea huko japan, ndo sisi tunanunua na kutembelea , hizi Ist tunavimba nazo hapa mjini nyingi ni za miaka ya 2005 hadi 2008Ni kweli ulisemalo ila kwasasa magari ya kuagiza yamepanda bei kutokana na production kuwa mdogo kuliko demand.
Sawa mkuuKama uliagiza miaka mitatu nyuma. Upo sahihi na yeye yupo sahihi pia .
Kodi zimepanda sana mwaka jana na mwaka huu , shipping pia ipo juu sana , wharfage na port chargers zipo juu pia
Kiufupi kama mwaka juzi uliagiza gari ikafika lets say mill 11 , mwaka huu gari hiyo hiyo same specs inaweza fika 15mil.
Indeed!I'd be astonished if you would have understood the satirical tone in the text. Though i tried to make it easy down there. Still you failed to understand. Poor you.
Hata wewe ulipigwa kwa wakati wako.Hata huyu dada n alipigwa kwa wakati wake, maana me nliagiza kwa ml10 tu .....π
Wadau gharama za gari zimepanda sana kuanzia, kodi, Shipping na CIF yenyewe.Hiyo ni nzuri. Ila kama imefika kwa gharama,au ndio kusema kodi imepanda kihivyo?. Nimeagiza moja mwezi wa 5 mwaka jana kama hiyo. Imefika kwa 17