Na wala usivue viatu mlangoni, wewe ingia tu pasipo hofu, tahadhari ni kuwa sio kila thread lazima uchangie, zingine unasoma then unasepa.
Hautofungiwa kwa kutochangia, habari yeyote utakayoleta uwe na source na pia ufanye uhakiki wa habari hiyo kabla hujatuma.
Mwisho zingatia namna ya uandishi, sio lugha ya matusi na maelezo yaeleweke na pia usibananishe sana.
Miandiko ya kidaktari inabore lakini pia hata kidhungu kina ruhusiwa isipokua usiandike unachofikiri ila unachosema
''The difficult of liturature is not to write but to write what you mean''
Karibu!